Hahahaaaa ndio wanasheria wetu hao!Sasa wewe unataka kukutana na mshitakiwa in private kwann!?? au ndo kunizunguka nianze kutafuta msaada pengine!??
NATAFUTA MWANASHERIA WA KIKE SASA HIVI..any one around!???
Sasa wewe unataka kukutana na mshitakiwa in private kwann!?? au ndo kunizunguka nianze kutafuta msaada pengine!??
NATAFUTA MWANASHERIA WA KIKE SASA HIVI..any one around!???
Mai waifu wangu how is your dat at work?? me will be late today naipitia polisi kituoni kumfungulia kesi Erickb52 nimwendee arusha na RB...
Kaizer sijui yuko wapi ila atakuwa kabanwa tu kama alivyo KabakabanaHivi klorokwini kenda wapi siku hizi?
Heheheeeee akishindwa yatakuwa ni matatizo yake tu ila havihusianiumemkosea nini mai husband wangu? Utasababisha leo asiperform vizuri. Lol
Catherine huyu mumeo anamng'ang'ania dada yangu beibe nasty kuwa ni dada yake sasa najiuliza huo udada umeanza lini?umemkosea nini mai husband wangu? Utasababisha leo asiperform vizuri. Lol
Hahahaaaa Mentor kwanza huyo shem beibe nasty unataka namba yake ya nini wakati unaweza kuwasiliana kupitia namba ya Judgement ?
Au ndo unataka kumzunguka kama Smiling Saint ?
Heheheeeee akishindwa yatakuwa ni matatizo yake tu ila havihusiani
Kama akikugusagusa tu akakuacha njiani uje kwani nikupandishe hadi mlima Kilimanjaro kuleeeee Kibo
Mentor umeamua kunimaliza.....sawa bhana nafikiria kuomba msamaha ila ngoja kwanza ntatoa kauli ya mwisho baadae na ukiendelea kunimind naongea na beibe nasty akukaneErickb52 Erickb52 Erickb52....una hamu sana ya kuongezewa kivumishi kwenye jina lako sio!??
NATOA ONYO: Mazoea na my waifu wangu Catherine UACHE lasivyo..
bak to ze topic: my waifu..sitachelewa ninamtuma private detective Pasco ashughulikie hilo suala then Arushaone atatusaidia kumu-identify victim wetu na Polisi atachukua hatua husika. huyu kesi yake haifunguliwi huku Dar maana atashindwa ku-concentrate kwa kushangaa maghorofa af ikiisha atang'ang'ania kubaki!
ooh n btw, ngoja nimwambie beibe nasty aje kukata mzizi wa fitna maana umezidi..mi nimng'ang'anie mdogo wangu? ndugu yangu? huwezi kuwa haujalewa wewe....
Smiling Saint naona swali lako ni gumu sana kuhusu idadi ya familia ila naendelea kuzihesabu then ntakujulisha baadae
Mentor umeamua kunimaliza.....sawa bhana nafikiria kuomba msamaha ila ngoja kwanza ntatoa kauli ya mwisho baadae na ukiendelea kunimind naongea na beibe nasty akukane