Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,851
- 9,372
Endelea na hii uliyoanzisha, don't worry about anything kama zile umezizika jumla.2012 na 2015 nilikuwa sijui jf mkuu!
Ushatamani kutumiwa senene au sioIla wahaya🤣
Eeh na matoke😁Ushatamani kutumiwa senene au sio
Kuna mahala nimesema ww ni muhaya?Mimi sio muhaya Nyamwi255
Tunaagana hapaKuna watu huku wanafanyana naskia paa paah paah 😒
Kutamanishana tuTunaagana hapa
Anaondoka mda sio mrefu, akitoka tu ni zamu yakoKutamanishana tu
Sawa ngoja niandae asali na ndimuAnaondoka mda sio mrefu, akitoka tu ni zamu yako

Sawa.Habari za majukumu wakuu poleni na hongereni pia.
Nimekuwa nikifatilia jf Kwa muda mrefu na hatimae nimeona na Mimi nijiunge.
Mimi napatikana dsm, na najishughulisha na ufundi wa Umeme, tv, w.mashine,ving'amuzi,na cctv camera, mawasiliano yangu ni 0755 969589 asanteni sn wakuu!
Hela ndogo tu, utalipia kwenye jf pesaKuna kiingilio kumbe😳 sh ngapi?