Mwaka 2019.
Salamu zangu ziwaendee waliotoa ahad za kutokunywa Beer ila mpaka leo washakunywa bia Ming sana.
hongeren ila jua hauko mwenyewe
Salamu pia kwa wanaume/wanawake waliokwisha lala na wanawake/wanaume zaid ya mmoja ndan ya siku hiz 4.
Umetisha sana..ww ni Master.
Naomba tutambuane kwny comments
Sent using
Jamii Forums mobile app