Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,035
- 168,657
- Thread starter
- #21
bujbuji heshima yako mkuu.... Sasa hapo kwenye red mkuu hata dada yako ameshaingia kwenye kundi hilo?
halafu kwenye buluu dada yako ndicho kilichomfanya amgande hicho kizee.:heh:
HUYU dADAnGU namuona kama muhindi, anapenda sana hela, yaani hata ukiwa na hela za zimbabwe anadata nazo