cognition
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 1,286
- 1,375
Ana mume,hata kwenye interview kaweka wazi,Jaribu kuitafuta YouTube.Ujue mkuu kujibizana na mwanamke ni kujiumiza buree wamezaliwa na mdomo.
Na huyo mume wake walikutana kipindi fatuma ana miaka 16, kwa sasa Fatuma ana miaka 51. watoto hajaongelea so naamini atakuwa nao.