Salama na Fatma Karume (Shangazi)

Jana nimebahatika kutazama kipindi cha Salama Jabir akipiga story na Fatuma Karume.

Wamezungumzia mambo mengi ila mimi kwangu hasa nilichokiona kwa Shangazi ni kwamba ni mtu ambaye hana furaha (ni mtazamo wangu) kutokana na muonekano wake. Na hii ninahisi inasababishwa na mtazamo wake kuhusu mambo yanayoendelea hasa akilalamika sana kuhusu mfumo wa kutoa haki hasa mahakama kuwa hazifanyi kazi kwa haki na kuwa kama mhimili unaojitegemea.

Pia, katika maelezo yake nahisi jambo lingine linalomsumbua, ni kwamba anaona kuna watu wanaonewa wanakandamizwa na hawajui kama wanaonewa wala kukandamizwa bado wanaona kila kitu ni sawa na hata ukiwaeleza hawaelewi unachowaeleza. Hili jambo uwa linawasumbua wengi nadhani Zitto akiwa mmoja kati ya watu ambao uwa wanachambua mambo ambayo wengi uwa hawayaelewi na wala kumsikiliza.

Pia, alijaribu kughusia kuhusu ofisi yao kuchomwa moto japo Salama alimuwahi akamwambia hataki kwenda huko na pia aligusia kuwa kafungiwa kufanya shughuli za uwakili, na akaendelea kuwa anaishi kwa kufanya shughuli za arbitration huko Uingereza na ni shughuli aliyokuwa akiifanya hata kabla hajaanza kufanya masuala ya uwakili Tanzania.

Ilikuwa interview nzuri nilipata kumfahamu zaidi huyu shangazi. Mungu ampatie maisha marefu huyu mwanamama.

Huyo ni mfano wa mtoto wa kiongozi,sio lemutuz babu zima linauza sura humu jf na vijukuu vyake...mtoto wa PM mstaafu unamiliki tumbo na mwili kibanda
 
Kuna saa huwezi kumuelewa mtu aliyekulia maisha ya juu hata kama anakueleza ukweli unabaki kuona anakusimanga,anakusumbua,hajui shida zako bali anaigiza kuzifahamu. Hali anayopitia shangazi ni hali wanayopitia wengi.

Angalia wataalam wa masuala ya watoto,wamama wakishafahamu huyo mtaalam hana au hajawahi kuwa na mtoto basi wanaona hafai hata kama ana utaalam wa kiasi gani.
Upo sahihi kabisaaah
 
Huyu naye kakua kwa kodi za serikali sasa hivi anatuletea mbofu mbofu tu..........hivi kuna anachoeweza kusema au kuongea aonekane kaongea point?? Madudu mangapi yamefanyika kwenye serikali ya baba ake na familia yake na mpaka leo yuko kimya kama haoni kuwa kuna watu wanataka kupata haki yao..........anakimbilia kutoa boriti kwenye jicho la mwingine hanaacha chongo kwenye jicho lake ............kubavu sana
 
Naomba link nikaitizame maana nimajitahid sana kuitafuta nimeshindwa
Jana nimebahatika kutazama kipindi cha Salama Jabir akipiga story na Fatuma Karume.

Wamezungumzia mambo mengi ila mimi kwangu hasa nilichokiona kwa Shangazi ni kwamba ni mtu ambaye hana furaha (ni mtazamo wangu) kutokana na muonekano wake. Na hii ninahisi inasababishwa na mtazamo wake kuhusu mambo yanayoendelea hasa akilalamika sana kuhusu mfumo wa kutoa haki hasa mahakama kuwa hazifanyi kazi kwa haki na kuwa kama mhimili unaojitegemea.

Pia, katika maelezo yake nahisi jambo lingine linalomsumbua, ni kwamba anaona kuna watu wanaonewa wanakandamizwa na hawajui kama wanaonewa wala kukandamizwa bado wanaona kila kitu ni sawa na hata ukiwaeleza hawaelewi unachowaeleza. Hili jambo uwa linawasumbua wengi nadhani Zitto akiwa mmoja kati ya watu ambao uwa wanachambua mambo ambayo wengi uwa hawayaelewi na wala kumsikiliza.

Pia, alijaribu kughusia kuhusu ofisi yao kuchomwa moto japo Salama alimuwahi akamwambia hataki kwenda huko na pia aligusia kuwa kafungiwa kufanya shughuli za uwakili, na akaendelea kuwa anaishi kwa kufanya shughuli za arbitration huko Uingereza na ni shughuli aliyokuwa akiifanya hata kabla hajaanza kufanya masuala ya uwakili Tanzania.

Ilikuwa interview nzuri nilipata kumfahamu zaidi huyu shangazi. Mungu ampatie maisha marefu huyu mwanamama.

Wanahabari wa Tanzania wengine ovyo sana.

Unamuita mtu kwenye mahojiano, anataka kufunguka, halafu unamkataza mengine asiongee?

Upumbavu gani huu?
Wanaogopa faini kubwa au kufungiwa kufanya kazi pale mzungumzaji atakapoongea mambo yanayowakera wakubwa.
 
alikiri baba yake alikuwa na madhaifu na pia alifanya makosa katika urais wake kama binadamu wengine. Pia aliongelea vitu vingi tu kwa maswali yanayofikirisha ambayo "vilaza" wenzie baadhi tumemuelewa

sidhani hata kama umeangalia interview yenyewe na kama umeangalia bhasi uliitazama kwa angle uliyotaka wewe.
Sasa kwa nini kipindi kile hakumfokea baba yake kama afanyavyo sasa au alikuwa ananufaika kupitia madudu aliyokuwa akiyafanya baba yake?
 
Unadhani yeye kwenda kinyume na system ambayo baba yake alikuwemo unadhani ni kitu rahisi ??...

unadhani ni vitu vingapi ameshapoteza au tu angepata kwa usomi wake kama angeamua kukaa kimya kama watoto wengine wa marais ???..

Brother kumchana baba ukweli kwa tabia mbovu ni ngumu katika family level leo mnataka mtu aende against baba yake on public ilhali alishawaambia alikuwa akimsihi mzee wake mara kwa mara kuhusu kurekebisha mfumo wa kidemokrasia nchini pake. which he actually did, mnataka nini zaidi
 
Anajikosha tu kwa hiyo zamani alikuwa akimsihi baba yake kimya kimya,ila kwenye public alishindwa ?

Husitegemee kwamba atakwambia jinsi alivyo nufaika kupitia madudu ya baba yake,kaongea kujikosha.Haya mambo tume ya sikia kwa Riz one alinufaika sana na madudu ya baba yake,Rais wa Angola aliye maliza mda wake mwanawe wakike alinufaika na madudu ya baba yake na watoto wengi wa viongozi wananufaika wakati baba zao madarakani.

Yeye anajikosha lkn nina uhakika hata yeye alinufaika na madudu ya baba yake,HUSITEGEMEE AKWAMBIE MACHAFU YAKE.Ndio maana ujana wake wote alikaa kimya,kuanzia miaka 46 ndio kaanza kujifanya mwana harakati,mimi na mwona MNAFIKI pamoja na mwenzake MARIA SARUNGI,baba zao walifanya madudu kibao.
 
Husitegemee kwamba atakwambia jinsi alivyo nufaika kupitia madudu ya baba yake,kaongea kujikosha.Haya mambo tume ya sikia kwa Riz one alinufaika sana na madudu ya baba yake,Rais wa Angola aliye maliza mda wake mwanawe wakike alinufaika na madudu ya baba yake na watoto wengi wa viongozi wananufaika baba zao madarakani.

Yeye anajikosha lkn nina uhakika hata yeye alinufaika na madudu ya baba yake,HUSITEGEMEE AKWAMBIE MACHAFU YAKE.Ndio maana ujana wake wote alikaa kimya,kuanzia 46 ndio kaanza kujifanya mwana harakati,mimi na mwona MNAFIKI pamoja na mwenzake MARIA SARUNGI,baba zao walifanya madudu kibao.
Wewe jamaa agiza faru John kubwa popote pale nalipa..aseeh.

Halafu huwa anapinga kila kitu
 
Anajikosha tu kwa hiyo zamani alikuwa akimsihi baba yake kimya kimya,ila kwenye public alishindwa ?

Husitegemee kwamba atakwambia jinsi alivyo nufaika kupitia madudu ya baba yake,kaongea kujikosha.Haya mambo tume ya sikia kwa Riz one alinufaika sana na madudu ya baba yake,Rais wa Angola aliye maliza mda wake mwanawe wakike alinufaika na madudu ya baba yake na watoto wengi wa viongozi wananufaika wakati baba zao madarakani.

Yeye anajikosha lkn nina uhakika hata yeye alinufaika na madudu ya baba yake,HUSITEGEMEE AKWAMBIE MACHAFU YAKE.Ndio maana ujana wake wote alikaa kimya,kuanzia miaka 46 ndio kaanza kujifanya mwana harakati,mimi na mwona MNAFIKI pamoja na mwenzake MARIA SARUNGI,baba zao walifanya madudu kibao.

mbona wabongo mmezidi kuwa sadists

unajua kuwa mtoto wa rais wa Angola yupo katika top 5 ya wanawake tajiri bara la Africa, unaweza kulinganisha nini na Fatma Karume.. Fatma Karume ana utajiri kiasi gani ??..

Fatma Karume kusoma shule nzuri na kupata privilledges kutokana na jina la familia yake haina tofauti na mtu wa middle class anavyochukuliwa na watu maskini kuwa kapendelewa. Bro its natural hata yeye alisema hakuchagua kuwa familia ile the same kwako

Nchi hii watoto wa viongozi ni wangapi wenye exposure kubwa, mbona wapo kimya na hamsemi. Mtu kajitolea kuongea na amepoteza fursa kibao lakini kwako wewe umeona kuongea kuhusu baba yake ndio big issue kuliko impact ya harakati zake, are you serious !!...

ok Maria na Fatma wanapata nini kwa kuongea vile hadi uhisi ni wanafki na hawamaanishi wanachokisema ???...

tuseme Maria na Karume wakae pembeni ili ufurahi, do you have balls za kufanya wanachokifanya ???....
 
Hapo kwenye privilege hapo ndipo watoto wa viongozi wanapatumia vibaya kupiga hela.

Alafu kusoma katika vyuo vizuri ndio kuna kufanya usiwe mbazilifu,manake Isabela dos santos ana degree ya Electrical Engineering kutoka UK,kichwa kuliko huyo Fatma.

Alafu hivi Kuwa mbazilifu ni lazima uingie ktk ranks za juu?

Unajua huyo Fatuma Karume ana kiasi gani?

Unamlia yamini utazani wewe ndiye muhasibu wake au ndio mahaba.

Sio sadists lazima watu wa hoji kama yy anavyotaka kujibiwa hoja zake,yeye miaka yote 45 ,alikuwa wapi? Juzi tu 2015 ndio kaanza uwanaharakati,hiyo miaka mengine 45 ya nyuma KULIKUWA HAMNA MADUDU,KULIKUWA HAMNA UMINYWAJI WA SHERIA,KULIKUWA HAMNA UBAZILIFU,KULIKUWA HAKUNA UFISADI,KULIKUWA HAKUNA RUSHWA.Ila kipindi hiki 2015 ndio aanze uwana harakati,kwa mtu MAKINI KABISA lazima atajiuliza KWA NINI sasa na SI ZAMANI ambapo ALIKAA PEMBENI na atajiuliza tena LABDA SABABU BABA YAKE ALIKUWA MADARAKANI.

Naona una MAHABA MPAKA UNAMLIA YAMINI HUYO MAMA,ILA KWA MIMI NI MNAFIKIIIIIIIIIIIII..........

Watoto wengi sana wa viongozi wa Kiafrika hunufaika sana pindi wazazi wao wanapo shika madaraka kuoitia MADUDU WANAYOFANYA WAZAZI WAO,huo ndio ukweli wenyewe.
 
Harudi tena
 
Hujanijibu maswali yangu niliyokuuliza zaidi ya kutoa nje insecurities zako kwa kunishambulia kwa kutokuwa na mtazamo sawa na wako. what a dissapointment !!!!..

Umeenda personal kwangu na kwa Fatma with a forest of words but a desert of points. you can do better than this brother !!!..

hivyo I rest my case 🙌🙌🙌🙌 na uwe na siku njema mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom