Salama na Fatma Karume (Shangazi)

Wanahabari wa Tanzania wengine ovyo sana.

Unamuita mtu kwenye mahojiano, anataka kufunguka, halafu unamkataza mengine asiongee?

Upumbavu gani huu?
For sure, it doesn't make sense. Mtangazaji ji anaonyesha hofu isiyokuwepo kwa mgeni wake. Anapoteza fursa ya kufanya mahojiano yake yawe bora zaidi.
 

Attachments

  • 2020-08-09 15.52.43.jpg
    2020-08-09 15.52.43.jpg
    16 KB · Views: 1
Very true mfano mimi uwa nina tabia ya kuwaambia akina dada kwanini uwa wanachukua ushauri kwa hawa wakina mama wanaonekana kwenye tv au redio ambao hawana waume kuwashauri kuhusu ndoa.
Ingekuwa hivi tusingechukua ushauri wa kielimu kwa wazazi wetu ambao hawajasoma. Kumbuka kushauri ni utaalamu si kila aliye kwenye ndoa basi anaweza kushauri. Asilimia kubwa ya walio kwenye ndoa huwa ni "vumilia, kuwa mvumilivu" hawajui kiasi gani ndoa hiyo unakuua taratibu na mtu akishakufa ndio wanasema kwanini hakukimbia etc

Mungu Ibariki Tz - MITz
 
Kuna saa huwezi kumuelewa mtu aliyekulia maisha ya juu hata kama anakueleza ukweli unabaki kuona anakusimanga,anakusumbua,hajui shida zako bali anaigiza kuzifahamu. Hali anayopitia shangazi ni hali wanayopitia wengi.

Angalia wataalam wa masuala ya watoto,wamama wakishafahamu huyo mtaalam hana au hajawahi kuwa na mtoto basi wanaona hafai hata kama ana utaalam wa kiasi gani.
Shangazi hana watoto, sivyo?
 
Ingekuwa hivi tusingechukua ushauri wa kielimu kwa wazazi wetu ambao hawajasoma. Kumbuka kushauri ni utaalamu si kila aliye kwenye ndoa basi anaweza kushauri. Asilimia kubwa ya walio kwenye ndoa huwa ni "vumilia, kuwa mvumilivu" hawajui kiasi gani ndoa hiyo unakuua taratibu na mtu akishakufa ndio wanasema kwanini hakukimbia etc

Mungu Ibariki Tz - MITz
Whitney Houston alishindwa ndoa, baadae akaanzisha ofisi ya counselling kuhusu ndoa. Kumbe anashauri lakini yeye ana stress mpaka kafa kwa drug overdose. Ni ngumu sana kuchukua ushauri kwa mshauri ambaye haishi kile anachoshauri.
Maana yangu siyo kwamba wanatoa ushauri mbaya, ila uwa hilo wazo linanipitia inakuwaje aliyeshindwa ndoa amshauri mwenzake jinsi ya kutunza ndoa?
 
Hujanijibu maswali yangu niliyokuuliza zaidi ya kutoa nje insecurities zako kwa kunishambulia kwa kutokuwa na mtazamo sawa na wako. what a dissapointment !!!!..

Umeenda personal kwangu na kwa Fatma with a forest of words but a desert of points. you can do better than this brother !!!..

hivyo I rest my case ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ na uwe na siku njema mkuu
Nime kushambulia wewe au Fatma?

Nimeenda personal sababu unavyo muongelea huyo mama utazani unajua mishe zake za kumuingizia hela,unajua account zake zina kiasi gani mpaka kumlia yamini,ndio maana NIKAKUSHANGAA.

We mbona maswali yangu hujajibu,ukijibu maswali yangu utapata majibu ya maswali yako.

Punguza MAHABA.
 
Hata mbuzi nao wanazalishana, basi usijigambe na kujimwambafai kwa kitu ambacho hata mende anakiweza.
Halafu watu huwa wanachukulia kutungisha mimba kama ishu kuuubwaaa!!

Hayo mamikojo yakishaingia kwenye yai, mchakato unaofuata ni purely natural.

Yaani kukojoa hivyo vishahawa basi ndo kujiona kiduumee! Aiseee..

Huwa wanazungumza kana kwamba wanamtengeneza mtoto tumboni kwa kutumia mikono au mashine fulani!
 
Nime kushambulia wewe au Fatma?

Nimeenda personal sababu unavyo muongelea huyo mama utazani unajua mishe zake za kumuingizia hela,unajua account zake zina kiasi gani mpaka kumlia yamini,ndio maana NIKAKUSHANGAA.

We mbona maswali yangu hujajibu,ukijibu maswali yangu utapata majibu ya maswali yako.

Punguza MAHABA.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Brother sio vita hii maana inaonekana nimekuboa sana. tufanye yaishe mkuu
 
Nimesikiliza interview. Mtu anayeongea kwa emotions ni vigumu sana kumsikiliza. Licha ya kuwa mtetezi wa haki lakini emotionally hayupo stable. Salama amekuwa calm sana ku deal naye.
 
Wanaogopa faini kubwa au kufungiwa kufanya kazi pale mzungumzaji atakapoongea mambo yanayowakera wakubwa.
Faini zaidi ya kuzuiwa kufanya kazi ni ya kuzuia mtu kujieleza.

Kazi unaweza kupata nyingine popote.

Lakini kujieleza popote itakapofanya kazi kwa haki utatakiwa kijieleza.
 
Huyu wakamchunze uraia wake. Atakuwa anauraia wa uingereza hivyo anatakiwa aishi kwa kibali hapa nchini.

Huyu mama baba yake alikuwa madarakani miaka 10, aliwafanyia nini wazanzibari? Mbona hatukumsikiaga kutetea haki zao? Alafu hao wanaokandamizwa wako Bara tu?

Mbona haendi kwao kuwaeleza wananchi wao jinsi chama cha baba yake na baba yake akiwemo vilivyowakandamiza?

Baba yake hakumuibiaga Maalim kura mara mbili huyu? Mbona hakujitokeza kumpigania Maalim?

Wakati wapemba wanalishwa shaba 2001, nani alikuwa raisi wa Zanzibar? Mbona hatujawahi kumsikia akiwapazia sauti?

Shenzi type tu. Watanzania tuache unafki. Akili hata za kugelezea zinatushinda?
Polisi na jeshi Ni Mambo ya muungano , hayamuhusu Rais wa Zanzibar , ndio maana mkapa akasema anajutia Hilo la watu kuuwawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom