Tetesi: Salama Jabir apigwa mimba

Yaani kutafuta kujua mimba ya mtu nayo habari. Inatuhudu nini hiyo. Mwanamke kupata mimba in uamzi wake, nongwa ya nini
 
Mwanzisha uzi ungeenda kwny point yako ya msingi, najua ulikuwa na wasiwasi kuhusu hilo, kama vile haliwezekani.
 
Wakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na ina miezi mingapi..? Asante
Halafu mkuu tumia kiswahili kizuri. Siyo kupigwa mimba ila ni kudungwa mimba
 
Ameanza kuendesha planet bongo kama mwaka 2003 hivi na alikuwa anaonekana tayari yuko matured, so kwa logic tu ya kawaida naunga mkonyo hoja kwamba ana zaidi ya 30

Yeah , ni mkukuu ,mwili mdogo unastiri !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…