Salam za mwaka mpya kutoka kwa Edward Lowassa; Watanzania tusikubali kugawanywa kwa sababu yoyote iwayo

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,830




Edward Lowassa: Tunapouanza mwaka huu mpya niwaombe watanzania wenzangu tukatae kugawanywa kwa sababu yoyote ile. Umoja na mshikamano ndio nguzo yetu. Nawatakia Heri na Fanaka ya mwaka mpya 2018.

Edward Lowassa: Napenda kutumia siku ya leo kizishukuru taasisi zote za kidini kwa mchango wao katika amani ya nchi yetu.

Edward Lowassa: Taasisi hizi za kidini zimekuwa mstari wa mbele siku zote katika kuendeleza sekta za afya. elimu, maji na nyingine nyingi. Wanastahili pongezi nyingi
 
Ni kweli kabisa, shaka yangu hiko juu yake, asije akakimbia tu kutoka Chadema na kurudi Chama cha Mapinduzi...!

Sisi tunasema hatuwezi kugawanywa, tutabaki na msimamo wetu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…