Salam za Idd toka mashirika mbalimbali

Salam za Idd toka mashirika mbalimbali

IMG-20260321-WA0034.jpg
 
Hii h
Mpendwa Mteja, Airtel inakutakia Heri ya Sikukuu ya Eid al Fitr. Maduka yetu ya Morogoro, Arusha, Mwanza, Dodoma, Mbagala na Mbeya yatakuwa wazi kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana. Maduka ya SGR Dar es Salaam, SGR Dodoma na SGR Morogoro yatakuwa wazi hadi saa 9 mchana, na Mlimani City hadi saa 1 usiku. Huduma zetu za kidigitali zinapatikana masaa 24.
Hii hata mimi nimeiona ndefuuu😄
Vodacom na Halotel kimya
 
Vodacom inakutakia wewe na familia yako Heri ya SIKUKUU YA MUUNGANO!
 
Vodacom inakutakia wewe na familia yako Heri ya SIKUKUU YA WAFANYAKAZI!
 
Vodacom inakutakia wewe na familia yako Heri ya SIKUKUU YA EID AL-ADHA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom