Sijapenda!🤣Sio kwa wateja wote loh😂
Jamani sasa si sikuwa hewani!Wewe haumo! Msg zitakufikia soon😁
Sawa mkubwaNimeshawapa taarifa watakutumia🤣
Air Tanzania waanzishe ruti ya Dodoma to Arusha.Eid Mubarak!
Tunakutakia Eid yenye amani, furaha, na baraka tele pamoja na wapendwa wako. Eid Mubarak kutoka Air Tanzania
Wameichukua niniNdugu zetu waarabu wameshaichukua
Mpendwa Mteja, Airtel inakutakia Heri ya Sikukuu ya Eid al Fitr. Maduka yetu ya Morogoro, Arusha, Mwanza, Dodoma, Mbagala na Mbeya yatakuwa wazi kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana. Maduka ya SGR Dar es Salaam, SGR Dodoma na SGR Morogoro yatakuwa wazi hadi saa 9 mchana, na Mlimani City hadi saa 1 usiku. Huduma zetu za kidigitali zinapatikana masaa 24.Eid Mubarak!
Tunakutakia Eid yenye amani, furaha, na baraka tele pamoja na wapendwa wako. Eid Mubarak kutoka Air Tanzania
Mpendwa Mteja, Airtel inakutakia Heri ya Sikukuu ya Eid al Fitr. Maduka yetu ya Morogoro, Arusha, Mwanza, Dodoma, Mbagala na Mbeya yatakuwa wazi kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana. Maduka ya SGR Dar es Salaam, SGR Dodoma na SGR Morogoro yatakuwa wazi hadi saa 9 mchana, na Mlimani City hadi saa 1 usiku. Huduma zetu za kidigitali zinapatikana masaa 24.
Hizi ni salamu + tangazo + taarifa (tatu bila)Mpendwa Mteja, Airtel inakutakia Heri ya Sikukuu ya Eid al Fitr. Maduka yetu ya Morogoro, Arusha, Mwanza, Dodoma, Mbagala na Mbeya yatakuwa wazi kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana. Maduka ya SGR Dar es Salaam, SGR Dodoma na SGR Morogoro yatakuwa wazi hadi saa 9 mchana, na Mlimani City hadi saa 1 usiku. Huduma zetu za kidigitali zinapatikana masaa 24.
Hahaha ndefu sana mimi nikajua nimepewa zawadi ya ticket ya bure leo sikukuu nasoma mpaka mwisho kumbe promotion ya bureHizi
Hizi ni salamu + tangazo + taarifa (tatu bila)