Salaamu kwa Wanaume.

Wanaume siku zote wamekuwa wanawalea wanawake waliowakuta ukubwani bila masimangi huyu mwanaume mmoja tu au wachache wanaolelewa na wanawake wao wasisababishe masimango kwa wanaume wanaojitafuta wanaopewa pesa
Nature hairuhusu hayo mambo,ATASIMANGWA TU!
 
ila nivyostaafu u strong woman nikajaelewa mwanamke yeyote ataendelea kuwa "strong woman mpaka pale atakapokutana na Mwanaume,elewa neno Mwana-mume!

Uzi hapa

cc ShesRise_1
Naunga mkono hoja Wallah wa billah🔥🔥 ngoja tuendelee kua strong woman mpka siku tukutane na Mwana -mume

Ila ukikuta na sample ya Natafuta Ajira utazeeka ukiwa strong woman 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…