Mmh yaani kama ni hivyo mpaka leo baada ya kupewa uhuru na usawa wa 50 kwa hamsini mnatazamia huduma?Acha kupenda bure kijana,bure ni gharama...mtoto mzuri msafiiii ananukia kasuka nywele kaliiiii halafu we unakula bure kwa kujifanya ni upendo?au sio mwanetu?kuna aliyegharamia
Kua uyaone kijana .Mmh yaani kama ni hivyo mpaka leo baada ya kupewa uhuru na usawa wa 50 kwa hamsini mnatazamia huduma?
Mna soma shule za nini, mna ajiriwa kwa nini?
Yaani nikiona mwanamke anatoa kauli kama yako na kasomeshwa huyo ni bado hana akili tu
Bado una mentality ya kimaskini sana wewe. Huwezi kuta mwanamke anaye jielewa anaongea hivi, hata kama anahudumiwa atamshukuru anemuhudumia ila ataona aibu kusema hadharani maana ni aibu,Kutunzwa Tunatunzw,kuhudumiwa tunahudumiwa na hutupigwi wala kusemwa semwa tunadekezwa zetu,kuna wanaume hawana njaa njaa kama wewe...
Kwani nimeongea uongo?Kua uyaone kijana .
Njaa unayo wewe unayetegemea wanaume.Kutunzwa Tunatunzw,kuhudumiwa tunahudumiwa na hutupigwi wala kusemwa semwa tunadekezwa zetu,kuna wanaume hawana njaa njaa kama wewe...
We mzeiya kunywa dawa zako za kisukari kwanza naona kinazidi kupanda,we unaniletea makasiriko wakati hata mkeo anajiuza,mimi na mkeo we are sailing on the same boat so chillax!na uendelee kupambana mkeo atumie kadi hizo NgoshaNjaa unayo wewe unayetegemea wanaume.
Mimi mtu productive tatizo langu si njaa tatizo langu ni nidhamu ya kula
Tena wewe tatizo lako si njaa tu, umejipa kilema cha kufikiri na kushusha utu wako mwenyewe kwa makusudi.
Na zaidi ya hapo, tatizo lako ni kubwa zaidi kwa sababu si wewe tu, hili ni tatizo la kiutamaduni katika jamii yako.
You are a fish in water, you are so used to the water you don't know it exists.
Umefundishwa kutegemea wanaume na kujiuza tangu mtoto, ndiyo kitu pekee unachojua.
HahahahaMungu awabariki wanaume watoaji.π
Wabahili Vyuma viendelee kukazaa π
Hahahaha Kuna MADA ganiAibu?Aibu gani tena?AIBU UTAONA WEWE!Yaani nihudumiwe halafu nisikie aibu unachekesha!
Hahahaha, aiseeWe mzeiya kunywa dawa zako za kisukari kwanza naona kinazidi kupanda,we unaniletea makasiriko wakati hata mkeo anajiuza,mimi na mkeo we are sailing on the same boat so chillax!na uendelee kupambana mkeo atumie kadi hizo Ngosha
Hahahaha, okay, ngoja nibaki msomaji nijifunze kituHa haaa baby wangu mtasha umefika!wanasema eti mimi ni mdangaji kwa nini nataka kuhudumiwa na mwanaume wangu,eti ndio naambiwa nione aibu ...Aibu wataona wao bhanaπ
Wewe ni mwanamke golikipa tu.We mzeiya kunywa dawa zako za kisukari kwanza naona kinazidi kupanda,we unaniletea makasiriko wakati hata mkeo anajiuza,mimi na mkeo we are sailing on the same boat so chillax!na uendelee kupambana mkeo atumie kadi hizo Ngosha
Hivi wewe una akili sawa kweli?ndio maana nakwambia zingatia hizo diabetic pills zako husikii!kisukari chako hakijakaa sawa ni hatari kwa afya yako....wewe aliyekwambia unatakwa ni nani?yaani niache wanaume wenye maisha yao na sio bahili nije kuhangaika na wewe mbeba box kwa Turampu kweli?we Ngosha unanikosea adabu....Hebu press ignore button haraka sana by the way si ulisha wahi nignore kipi kilikufanya uanze kuona post zangu pimbi mmojaWewe ni mwanamke golikipa tu.
Una mentality ya "Chako Changu, Changu Changu".
Mentality ya kichangudoa.
Kawashike hao wanaume washamba mimi nina Trust Fund Baby tunachanganya Trust Funds zetu huku sitaki shida na wanawake masikini wasiojua reciprocity na wasiokuwa na skill yoyote zaidi ya kutembeza kipapa tu.
Nakuoeleka ignore list kuanzia hapa sitaona unachoandika usije kuniletea janaba bure kimtandao hapa.
Eti Trust Fund,trust Fund my foot upo huko mwaka wa 30 hata nauli ya kurudi bongo huna...pambana na umaskini wakoWewe ni mwanamke golikipa tu.
Una mentality ya "Chako Changu, Changu Changu".
Mentality ya kichangudoa.
Kawashike hao wanaume washamba mimi nina Trust Fund Baby tunachanganya Trust Funds zetu huku sitaki shida na wanawake masikini wasiojua reciprocity na wasiokuwa na skill yoyote zaidi ya kutembeza kipapa tu.
Nakuoeleka ignore list kuanzia hapa sitaona unachoandika usije kuniletea janaba bure kimtandao hapa.
Daah π aiseeHivi wewe una akili sawa kweli?ndio maana nakwambia zingatia hizo diabetic pills zako husikii!kisukari chako hakijakaa sawa ni hatari kwa afya yako....wewe aliyekwambia unatakwa ni nani?yaani niache wanaume wenye maisha yao na sio bahili nije kuhangaika na wewe mbeba box kwa Turampu kweli?we Ngosha unanikosea adabu....Hebu press ignore button haraka sana by the way si ulisha wahi nignore kipi kilikufanya uanze kuona post zangu pimbi mmoja
Afadhali umeanza kuelewa...Daah π aisee
Ila ukweli ni sisi wanaume tuliwakubalia mfumo dume ufe alafu leo ymtunabaki kushangaza yanayo tokea..
Uhalisia mwanamke ni receiver huo ndo uhalisia na nyie mlipaswa msing'ang'anie nafasi ya mwanaume sasa mbaki kuwa watu wa kuhudumiwa
Kwamba kiranga mbeba mabox?
Mimi najua ukweli... Hakuna mwanamke duniani asiyetaka huduma. Imo ndani ya bailojia yenu. Ila tu nabisha kwasababu ni nyie wenyewe ambao mnalilia usawa wa 50 kwa 50 tena linapokuja swala la nafasi yenu katika jamiiAfadhali umeanza kuelewa...
Ina maana likuwa hujui kama Kiranga ni mbeba mabox huko?mbona sio siri JF wote wa Zamani tunajua tunamtunzia tu siri,anavyojigamba kwa Gen Z tunamzoom tu..
Kutoka kwa Mzizima hadi kuoa trust fund baby....Mke hapewi hela. Apewe hela apewe ngapi na utajuaje atahitaji ngapi?
Mke hapewi hela.
Anapewa kadi ajipimie mwenyewe. Na yeye wala hana mapepe na hela na mambo ya material kwa sababu yeye mwenyewe ni Trust Fund Baby.
Unajua Trust Fund Baby ni nini?
Ila hizi habari zenu za kupenda kupewa na kuona hayo ni mapenzi ni poverty anxiety.
Na unaweza usielewe hili. Kwa sababu unatika katika jamii inayomlipia mwanamke mahari, mwanamke ni kama bidhaa ananunuliwa kwa mahari.
You are like a fish that is so used to water you don't even know you are in water.