Salaam

Kapipi DT

New Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
1
Reaction score
1
WanaJamii wenzangu habarini za humu ndani..
Nafurahi kuwa humu na nategemea kujifunza mengi sana humu...
Nipokeeni na msichoke kwa maswali mengi nitakayouliza ili kufahamu...
Ahsanteni sana
 
Karibu sana, ila kabla haujaanza kuuliza maswali yako, tukuulize wewe kwanza.
Jinsia yako please!
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…