Salaam na Agizo kwa Lau Masha

Dogo,

Tambua kuwa hukuwa na hati miliki ya Ubunge ambao ulikupa Uwaziri. Mara tu baada ya Kubwagwa kwa sauti ya UMMA unapaswa kutambua kuwa maana yake HAUSTAHILI hata kwa sekunde kuendelea kuhodhi NAFASI, RASILIMALI, FURSA, au UPENDELEO uliopata kutokana na kuwa MBUNGE na KISHA WAZIRI.

Kwa salamu hizi nakutaka mara moja (Hapa naamrisha kama Dr. Slaa anavyoamuru serikali akiwa nje ya dola) ufanye lifuatalo:

  • BADILI WASIFU WAKO NA ANWANI KATIKA MAANDIKO YAKO KUANZIA SASA. Hii ni pamoja na kuondoa Cheo na anwani zinazokutambulisha kama Waziri kwenye mitandao kama Facebook Lau Masha | Facebook
AMRI HII ITEKELEZWE MARA MOJA.

akaendlee ma uanasheria wake mana alijidai sana..
 
Jamani, kwani ametaka kuendelea kutumia cheo/vyeo hicho/hivyo? Nadhani mambo yatakwenda kama kawaida. Kama amekosa ubunge, hawezi kutumia hicho cheo tena na hawezi kuwa Waziri tena labda ateuliwe kuwa Mbunge na Mhe. Rais. Naona kama ameshupaliwa sana, kama alikosea basi mkosoeni tu na sio kumsema hivi.
Kwenye nyekundu hapo una maana gani? amesemwa au anapewa maagizo na sisi wananchi ambao ndio tulikuwa waajiri wake wa zamani..!
 
Hahahahahahahahahahahahaha,
Mtu akishaonja madaraka bwana, hasa viongozi wetu wa Kiafrika kuachia huwa inakuwa ngumu sana. Jamaa sasa vitu kama hivi anaona anavikosa. Lol!
Hii inamsubiri na Kikwete pia, yeye thru peoples power
 
Dogo,

Tambua kuwa hukuwa na hati miliki ya Ubunge ambao ulikupa Uwaziri. Mara tu baada ya Kubwagwa kwa sauti ya UMMA unapaswa kutambua kuwa maana yake HAUSTAHILI hata kwa sekunde kuendelea kuhodhi NAFASI, RASILIMALI, FURSA, au UPENDELEO uliopata kutokana na kuwa MBUNGE na KISHA WAZIRI.

Kwa salamu hizi nakutaka mara moja (Hapa naamrisha kama Dr. Slaa anavyoamuru serikali akiwa nje ya dola) ufanye lifuatalo:

  • BADILI WASIFU WAKO NA ANWANI KATIKA MAANDIKO YAKO KUANZIA SASA. Hii ni pamoja na kuondoa Cheo na anwani zinazokutambulisha kama Waziri kwenye mitandao kama Facebook Lau Masha | Facebook
AMRI HII ITEKELEZWE MARA MOJA.

Duh! Hii kali.
 
Atakua anaviona kwenye TV

Hahahahahahahahahahahahaha,
Mtu akishaonja madaraka bwana, hasa viongozi wetu wa Kiafrika kuachia huwa inakuwa ngumu sana. Jamaa sasa vitu kama hivi anaona anavikosa. Lol!
 
MASHA.jpg

Dogo,
Bado tu hujazoea maisha bila Uwaziri?
Wataka Mpaka Nahodha na Kagasheki Waapishwe ndo ukubali kuwa MAMLAKA yamekwisha twaliwa?!
Ebo! Kuwa mwelevu na kubali yaliyokwishajiri upunguze msongo wa mawazo.
 
View attachment 17515

Heshima kwako Omutwale,

Mkuu naona unamwanda Lau mwanzako bado anawaza dili la vitambulisho.
 
View attachment 17515

Dogo,
Bado tu hujazoea maisha bila Uwaziri?
Wataka Mpaka Nahodha na Kagasheki Waapishwe ndo ukubali kuwa MAMLAKA yamekwisha twaliwa?!
Ebo! Kuwa mwelevu na kubali yaliyokwishajiri upunguze msongo wa mawazo.

Duh! Ama kweli dunia duara na kutesa kwa zamu!! Sasa ile dili ya National ID ndo imeota mbawa? Au ataifanya kwa remote!!
 
Hahahahahahahahahahahahaha,
Mtu akishaonja madaraka bwana, hasa viongozi wetu wa Kiafrika kuachia huwa inakuwa ngumu sana. Jamaa sasa vitu kama hivi anaona anavikosa. Lol!

Ule msemo wa cheo ni dhamana haupaswi kusahaulika una maana kubwa. Tumia cheo chako kwa faida ya nchi yako kwani kwa kufanya hivyo utakumbukwa daima!, sijua kama kaacha legacy yoyote kwenye uongozi wake. Huyu huenda issue ya vitambulisho imemwangusha.
 
Usiniambie leo hii Masha hana tofauti na mimi mjasiriamali wa kawaida??? Kampani yake Dubai tutaikosa na majigambo. Jamaa alikuwa anatamba utadhani nnchi yake. Tulikuwa tunaumia kweli kumbe mwisho wake umefika. Masha masela wanakupa hi, unakumbuka..........
 
......nakumbuka akiwa anapata kilevi pale rozy garden akilewa tu anapiga simu gari ya ffu inakuja vijana wanakaa nje ya bar akitoka wana msindikiza mpaka home......lol!..
 
Nimesoma favorite quote yake huko facebook, nikajaribu kukumbuka kitu muhimu alicholifanyia taifa hili nikaishia kutota kwa jasho.
 
Pole Hill-Sider Laurent Masha. Nakumbuka enzi zetu Mlimani, kila mwaka ulifanya birthday party zaidi ya moja; ujiko wa kuwanasa 'watoto'. Muulize Mushi wa benki kuu, sijui bado mzima?
Tukumbukane​
 
Back
Top Bottom