Dogo,
Tambua kuwa hukuwa na hati miliki ya Ubunge ambao ulikupa Uwaziri. Mara tu baada ya Kubwagwa kwa sauti ya UMMA unapaswa kutambua kuwa maana yake HAUSTAHILI hata kwa sekunde kuendelea kuhodhi NAFASI, RASILIMALI, FURSA, au UPENDELEO uliopata kutokana na kuwa MBUNGE na KISHA WAZIRI.
Kwa salamu hizi nakutaka mara moja (Hapa naamrisha kama Dr. Slaa anavyoamuru serikali akiwa nje ya dola) ufanye lifuatalo:
AMRI HII ITEKELEZWE MARA MOJA.
- BADILI WASIFU WAKO NA ANWANI KATIKA MAANDIKO YAKO KUANZIA SASA. Hii ni pamoja na kuondoa Cheo na anwani zinazokutambulisha kama Waziri kwenye mitandao kama Facebook Lau Masha | Facebook
roger! That!dogo,
tambua kuwa hukuwa na hati miliki ya ubunge ambao ulikupa uwaziri. Mara tu baada ya kubwagwa kwa sauti ya umma unapaswa kutambua kuwa maana yake haustahili hata kwa sekunde kuendelea kuhodhi nafasi, rasilimali, fursa, au upendeleo uliopata kutokana na kuwa mbunge na kisha waziri.
Kwa salamu hizi nakutaka mara moja (hapa naamrisha kama dr. Slaa anavyoamuru serikali akiwa nje ya dola) ufanye lifuatalo:
- badili wasifu wako na anwani katika maandiko yako kuanzia sasa. Hii ni pamoja na kuondoa cheo na anwani zinazokutambulisha kama waziri kwenye mitandao kama facebook lau masha | facebook
amri hii itekelezwe mara moja.
Dogo,
Tambua kuwa hukuwa na hati miliki ya Ubunge ambao ulikupa Uwaziri. Mara tu baada ya Kubwagwa kwa sauti ya UMMA unapaswa kutambua kuwa maana yake HAUSTAHILI hata kwa sekunde kuendelea kuhodhi NAFASI, RASILIMALI, FURSA, au UPENDELEO uliopata kutokana na kuwa MBUNGE na KISHA WAZIRI.
Kwa salamu hizi nakutaka mara moja (Hapa naamrisha kama Dr. Slaa anavyoamuru serikali akiwa nje ya dola) ufanye lifuatalo:
- BADILI WASIFU WAKO NA ANWANI KATIKA MAANDIKO YAKO KUANZIA SASA. Hii ni pamoja na kuondoa Cheo na anwani zinazokutambulisha kama Waziri kwenye mitandao kama Facebook Lau Masha | Facebook
AMRI HII ITEKELEZWE MARA MOJA.
Omutwale, huna haja ya kutoa amri za kihivyo, hii itaonekana ni chuki binafsi, maadamu uwaziri ni part ya CV yake, uwaziri unakoma pale anaopoapishwa waziri mwingine na yeye kukabidhi ofisi na kurejea IMMA.Dogo,
Tambua kuwa hukuwa na hati miliki ya Ubunge ambao ulikupa Uwaziri. Mara tu baada ya Kubwagwa kwa sauti ya UMMA unapaswa kutambua kuwa maana yake HAUSTAHILI hata kwa sekunde kuendelea kuhodhi NAFASI, RASILIMALI, FURSA, au UPENDELEO uliopata kutokana na kuwa MBUNGE na KISHA WAZIRI.
Kwa salamu hizi nakutaka mara moja (Hapa naamrisha kama Dr. Slaa anavyoamuru serikali akiwa nje ya dola) ufanye lifuatalo:
AMRI HII ITEKELEZWE MARA MOJA.
- BADILI WASIFU WAKO NA ANWANI KATIKA MAANDIKO YAKO KUANZIA SASA. Hii ni pamoja na kuondoa Cheo na anwani zinazokutambulisha kama Waziri kwenye mitandao kama Facebook Lau Masha | Facebook
Omutwale, huna haja ya kutoa amri za kihivyo, hii itaonekana ni chuki binafsi, maadamu uwaziri ni part ya CV yake, uwaziri unakoma pale anaopoapishwa waziri mwingine na yeye kukabidhi ofisi na kurejea IMMA.
Na hata baada ya kuachia madaraka, bado anayohaki ya kuiretain hiyo title kwa kuongeza prefix frm, akimaanisha former.