Salaam na Agizo kwa Lau Masha

Omutwale

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
1,431
1,045
Dogo,

Tambua kuwa hukuwa na hati miliki ya Ubunge ambao ulikupa Uwaziri. Mara tu baada ya Kubwagwa kwa sauti ya UMMA unapaswa kutambua kuwa maana yake HAUSTAHILI hata kwa sekunde kuendelea kuhodhi NAFASI, RASILIMALI, FURSA, au UPENDELEO uliopata kutokana na kuwa MBUNGE na KISHA WAZIRI.

Kwa salamu hizi nakutaka mara moja (Hapa naamrisha kama Dr. Slaa anavyoamuru serikali akiwa nje ya dola) ufanye lifuatalo:

  • BADILI WASIFU WAKO NA ANWANI KATIKA MAANDIKO YAKO KUANZIA SASA. Hii ni pamoja na kuondoa Cheo na anwani zinazokutambulisha kama Waziri kwenye mitandao kama Facebook Lau Masha | Facebook
AMRI HII ITEKELEZWE MARA MOJA.
 
Eh watu wakali, hivi aliwakosea nini huyu mtanzania jamani!
 
dogo,

tambua kuwa hukuwa na hati miliki ya ubunge ambao ulikupa uwaziri. Mara tu baada ya kubwagwa kwa sauti ya umma unapaswa kutambua kuwa maana yake haustahili hata kwa sekunde kuendelea kuhodhi nafasi, rasilimali, fursa, au upendeleo uliopata kutokana na kuwa mbunge na kisha waziri.

Kwa salamu hizi nakutaka mara moja (hapa naamrisha kama dr. Slaa anavyoamuru serikali akiwa nje ya dola) ufanye lifuatalo:

  • badili wasifu wako na anwani katika maandiko yako kuanzia sasa. Hii ni pamoja na kuondoa cheo na anwani zinazokutambulisha kama waziri kwenye mitandao kama facebook lau masha | facebook

amri hii itekelezwe mara moja.
roger! That!
 
Eh watu wakali, hivi aliwakosea nini huyu mtanzania jamani!

Mengi tuu!..... ikiwemo kutudhalilisha sie VIJANA na kuonekana RIKA letu hatuna UZALENDO, tunalewa MADARAKA, hatuja KOMAA Kiasi cha kuaminika KUTUMUKIA NCHI KWA UADILIFU.
 
hahahahaa u made my day lol!!
kabisa tena afanye haraka sana

uyu bwana alituboa sana uku mwz hasa kipindi ichi cha uchaguzi ndo balaa
alijisahau sana na akasahau mwz ni washashi na wasukuma,,
ambao wakichoka wanakushusha naniliu kabisaa
 
Dogo,

Tambua kuwa hukuwa na hati miliki ya Ubunge ambao ulikupa Uwaziri. Mara tu baada ya Kubwagwa kwa sauti ya UMMA unapaswa kutambua kuwa maana yake HAUSTAHILI hata kwa sekunde kuendelea kuhodhi NAFASI, RASILIMALI, FURSA, au UPENDELEO uliopata kutokana na kuwa MBUNGE na KISHA WAZIRI.

Kwa salamu hizi nakutaka mara moja (Hapa naamrisha kama Dr. Slaa anavyoamuru serikali akiwa nje ya dola) ufanye lifuatalo:

  • BADILI WASIFU WAKO NA ANWANI KATIKA MAANDIKO YAKO KUANZIA SASA. Hii ni pamoja na kuondoa Cheo na anwani zinazokutambulisha kama Waziri kwenye mitandao kama Facebook Lau Masha | Facebook

AMRI HII ITEKELEZWE MARA MOJA.

Lol!!!! ha ha ha ha Roger That
 
i still believe Masha was a visionary tanzanian, sijui alikosea wapi
 
Dogo,

Tambua kuwa hukuwa na hati miliki ya Ubunge ambao ulikupa Uwaziri. Mara tu baada ya Kubwagwa kwa sauti ya UMMA unapaswa kutambua kuwa maana yake HAUSTAHILI hata kwa sekunde kuendelea kuhodhi NAFASI, RASILIMALI, FURSA, au UPENDELEO uliopata kutokana na kuwa MBUNGE na KISHA WAZIRI.

Kwa salamu hizi nakutaka mara moja (Hapa naamrisha kama Dr. Slaa anavyoamuru serikali akiwa nje ya dola) ufanye lifuatalo:

  • BADILI WASIFU WAKO NA ANWANI KATIKA MAANDIKO YAKO KUANZIA SASA. Hii ni pamoja na kuondoa Cheo na anwani zinazokutambulisha kama Waziri kwenye mitandao kama Facebook Lau Masha | Facebook
AMRI HII ITEKELEZWE MARA MOJA.
Omutwale, huna haja ya kutoa amri za kihivyo, hii itaonekana ni chuki binafsi, maadamu uwaziri ni part ya CV yake, uwaziri unakoma pale anaopoapishwa waziri mwingine na yeye kukabidhi ofisi na kurejea IMMA.

Na hata baada ya kuachia madaraka, bado anayohaki ya kuiretain hiyo title kwa kuongeza prefix frm, akimaanisha former.
 
Jamani, kwani ametaka kuendelea kutumia cheo/vyeo hicho/hivyo? Nadhani mambo yatakwenda kama kawaida. Kama amekosa ubunge, hawezi kutumia hicho cheo tena na hawezi kuwa Waziri tena labda ateuliwe kuwa Mbunge na Mhe. Rais. Naona kama ameshupaliwa sana, kama alikosea basi mkosoeni tu na sio kumsema hivi.
 
Omutwale, huna haja ya kutoa amri za kihivyo, hii itaonekana ni chuki binafsi, maadamu uwaziri ni part ya CV yake, uwaziri unakoma pale anaopoapishwa waziri mwingine na yeye kukabidhi ofisi na kurejea IMMA.

Na hata baada ya kuachia madaraka, bado anayohaki ya kuiretain hiyo title kwa kuongeza prefix frm, akimaanisha former.

Bila kufanya rejea kwa case ya Masha..hapo penye red.... nimecheka sana... ikiwa kila aliyewahi kushika nafasi ata retain titile yake ya zamani...mbona pasingetosha! Wananchi si waatachanganyikiwa? Cha msingi ni kutambua tu kwamba uongozi ni kupokezana vijiti.Ukimaliza ungwe yako inapendeza uondoke na kuachia wengine waendelee, ikiwa ni pamoja na kuacha kutumia title/wadhifa. Cheo ni dhamana na siyo urithi wala mali ya mtu binafsi.

Kuna watu wanabakiza hizo title na inaleta maana mfano - Judge kwa maana kuna legacy fulani imeachwa - mfano judge aliyewahi kutoa hukumu fulani na wenziwe wanataka kumnukuu.Vinginevyo huwa sioni mantiki ya mtu kujiita cheo "kilichokwishapitwa na wakati na kuwa historia".
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom