The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
karibu tena
Unajua patna hali ya humu siku hizi ni kitendawili ndo maana tunaingia kwa kunyata! Mzima lakini?Hivi uje nimekumiss patna!!!
Unajua patna hali ya humu siku hizi ni kitendawili ndo maana tunaingia kwa kunyata! Mzima lakini?
Mazoea nayo yanatufanya tushindwe kuondoka . . . . .mfano nikimkumbuka watu8 inabidi nirudi tu lol! Asante kwa salamu patna, mie bukheri wa afya!tunaingia kibishi hivyo hivyo...si unajua "home sweet home" mie mzima sana, nilipokuona nikajawa na hamu ya kukusabahi!!
Karibu upya JG. Mwanza tuandae party yetu
Mazoea nayo yanatufanya tushindwe kuondoka . . . . .mfano nikimkumbuka watu8 inabidi nirudi tu lol! Asante kwa salamu patna, mie bukheri wa afya!
Nambie Mwanajeshi wangu Nicas Mtei !
Acha mas'khara bwanaa! Una maana uko Rock cirry ?
No worry kiongozi nitaku Prime Minister ! Midamida.
Pole patna kwa kukutana na kigingi . . . muda ukifika nambie nikufungulie mwayego!Kuna kitu nikua nataka nikuulize kupitia Prime Minister lakini naona umepiga LOCK enewei nitakuuliiza tu wakati mwingine ufaao...mie nafurahi kujua u mzima na mwenye siha njema patna!!!
Pole patna kwa kukutana na kigingi . . . nitakustua basi!Kuna kitu nikua nataka nikuulize kupitia Prime Minister lakini naona umepiga LOCK enewei nitakuuliiza tu wakati mwingine ufaao...mie nafurahi kujua u mzima na mwenye siha njema patna!!!