Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Sijaelewa bado. Labda ukihamia ndo nitaelewa!Siamini kama hujaelewa! Ilhali nauelewa umahiri wako kitafsida! Semea tu umeelewa bali wajitoa fahamu! Unabaraguza . Nikisema "wazimu wangu waweza hamia kwako" ikushinde nini kuelewa?