Sala yetu moja kwa diamond

Sala yetu moja kwa diamond

Nachukua nafas hii kuwaomba watanzania wote tuweke tofauti zetu na kumuombea DIAMOND PLATNUMZ apate tuzo usiku huu ya MTV

please mod tuondolee huu uzi bhana umepitwa na wakati mtv wala bet hakuitajiki maombi wala ndumba na juhudi na suport ya mafans plese ondoa hii thread mod!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom