Kama sikoei kuna kitabu kinaitwa "KUFIKIRIKA"Ee KIKWETE Uliye tufilisi,
Jina lako USANII MTUPU,
utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,
utupe leo mabilioni yetu ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani,
uwape WASTAAFU pesa zao,
uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA,
Usitutie katika mikataba FEKI,
kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele,
na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani, AMINA
""IMANI YA CHADEMA""
Namwamin Dk.WILBROAD, mwana wa SLAA, Ndugu Yetu, aliyepitia vikwazo vingi kwa hujuma za CCM. Akateswa kwa kashfa za Ndoa, Akadhihakiwa, Akapingwa, Akaonyesha msimamo; Siku ya siku akasimama kwa kishindo; Akapaza sauti, Ameketi mkono wa kuume kutetea haki za Watanzania; Kutoka huko atakuja kuwahukumu mafisadi.
Hii sala mpatieni Mchungaji Slaa aipeleke kanisani, huko ndio kuna sala za ajabuajabu namna hii. watu hukop ni rahisi kufumba macho na kuitikia ameeen bila kujali nani anaombwa.
Pilato kwa hii, I SALUTE YOU
Ee KIKWETE Uliye tufilisi,Jina lako USANII MTUPU,utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,utupe leo mabilioni yetu ya EPA,uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani ,uwape WASTAAFU pesa zao ,uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA ,Usitutie katika mikataba FEKI, kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele , na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani ,AMINA
Forwaded msg from mobile phone..!!
Amina, na iwe hivyo bwana
Sipendi watu wanaokurupuka na kuandika vitu bila kufikiria; wewe unasema "aipeleke kanisani huko ndio kuna sala za ajabu ajabu namna hii" unafikiri kanisani ni kama huko unakosali wewe ambako mnaomba mapepo na mizimu iwalinde..?? Acha kulitukana kanisa...!! Bora useme mahali kwingine but not kanisani au kwenye nyumba za dini za watu...!!!
Usishangae kukuta mt2 kama huyo Ringtone ya cm yake ameweka "Kwetu pazuri ya Ambassador" si unajua wao hawanaga nyimbo Kishaz achana nae!