Sakata uuzwaji Coco Beach lageuka, Kubenea aonesha mikataba

Sakata uuzwaji Coco Beach lageuka, Kubenea aonesha mikataba

Aliyesani ni Julian Bujugo aliyekuwa naibu meya kupitia Ccm Kubenea ameomba Tume huru iundwe na Lukuvi asiwemo azam two mda huu

We toka lini mkataba ukasainiwa na na naibu meya peke yake bila ya mtendaji
 
jana Kubenea kafumua ufisadi hekari kaadhaa alikopatiwa quality group nje ya ofisi za wilaya Knondoni
 
Naiona dalili ya kubenea kuwa shujaa wa taifa muda si mrefu .

Kitendo cha Kubenea kukana maandiko yake kisa kapewa tonge kitamdhalilisha maisha yake yote na hata angefanya nini inafahamika muda wowote mtu akifika bei Kubenea atakana. Mtu aina ya Kubenea KAMWE hawezi kuwa shujaa
 
Aliyesani ni Julian Bujugo aliyekuwa naibu meya kupitia Ccm Kubenea ameomba Tume huru iundwe na Lukuvi asiwemo azam two mda huu

kubenia kubwa jinga anafikiri ni tuhuma moja tu anayotuhumiwa katibu wake wa kampeni musa naty
 
Kitendo cha Kubenea kukana maandiko yake kisa kapewa tonge kitamdhalilisha maisha yake yote na hata angefanya nini inafahamika muda wowote mtu akifika bei Kubenea atakana. Mtu aina ya Kubenea KAMWE hawezi kuwa shujaa

Shujaa ni yule anayekubalika na wengi na kupingwa na wachache , kuna vitu huvijui kuhusu maandiko ya kubenea .
 
WAKATI Serikali ikimsimamisha kazi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mhandisi Mussa Natty, kwa madai kuwa pamoja na mambo mengine alihusika kuuza ufukwe wa Coco Beach, sakata hilo limevaa sura mpya baada ya Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea na Diwani wa Kata ya Ubungo, Boniface Jacob, kuibuka na kutoa mktaba unaaonyesha kuwa eneo hilo liliuzwa kabla ya Mhandisi huyo kuanza kazi Kinondoni.

Mkataba wa uuzwaji wa fukwe wa Coco

Kwa upande wake Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea, alieleza namna ubinafsishwaji wa Coco beach ulivyofanyika ambapo alimtetea Natty na kusema kuwa mchakato wa kuuzwa kwa ufukwe huo ulianza muda mrefu kabla ya mkurugenzi huyo kushika wadhifa huo.

Kubenea alionesha mkataba wa makubaliano kati ya Baraza la Manispaa ya Kinondoni na Q- Consult Limited kampuni inayomilikiwa na mfanyabiashara Yusuph Manji ambaye ndiye mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo.

Mktaba huo ulisainiwa Desemba 21, mwaka 2007 ambapo kwa upande wa Manispaa ya Kinondoni ulisainiwa na Naibu Meya wa wakati huo, Julian Bujugo na Mkurugenzi wa Manispaa ambaye alikuwa ni Noel Mahyenga huku upande wa Q-Consult ukisainiwa na S. Sampatihkumar na B. N. Arvind wote wakiwa wakurugenzi katika kampuni hiyo.

N.B: Mkurugenzi Eng MUSSA NATTY aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa KINONDONI 2013
 
Fukunyua uozo wote hata kama ni miaka 20 iliyopita
 
Mbona hakuyasema kabla anaogopa majipu yake yeye yasitumbuliwe?
 
Hivi Kubenea nn kinamuwasha? Hiyo issue ishaanza kufanyiwa kazi yeye kila siku akipata vipeperushi viwili anaibuka ili aonekane kaibua yeye hiyo kashfa au? Magufuli anayajua hayo yote na mambo yanenda kwa atua jana katua jijini tusubiri mambo yataendaje kubenea usichanganye watu, awe Natty au nani yoyote aliyehusika kuuzwa sehemu yoyote ya wazi halali yetu
 
kama ni kubenea katoa hizo doc basi ni feki kama zile za richmond tu.
 
Kashfa zote hizo kwa Engineer Musa ni kwa sababu ya imani yake thabiti akidini tuu hakuna jingine.Huu mfumo uliopo madarakani unajulikana kama hukusoma seminari huna lako

Sio Kosa lako !
 
Kashfa zote hizo kwa Engineer Musa ni kwa sababu ya imani yake thabiti akidini tuu hakuna jingine.Huu mfumo uliopo madarakani unajulikana kama hukusoma seminari huna lako

Nimeamini kweli we BONGOLALA nilidhani ni jina tu umejipa
 
Last edited by a moderator:
Sasa huyu kichwa maji anakimbilia kwenye mitandao kwani ndo mahakamani? haya mambo asubiri yaende mbele ndo utetezi wake utakuwa na maana ama sivyo ni yale yale tu kuendelea kukurupuka
 
Back
Top Bottom