Sakata uuzwaji Coco Beach lageuka, Kubenea aonesha mikataba

Thread haina nyama haiujulikani maada na tatizo ni nini zaidi ya kumtaja kubenea fisadi
 
Kashfa zote hizo kwa Engineer Musa ni kwa sababu ya imani yake thabiti akidini tuu hakuna jingine.Huu mfumo uliopo madarakani unajulikana kama hukusoma seminari huna lako
kwani Saidi Kubenea dini gani?
 
Engineer amekihujumu sana Chama cha Mapinduzi kwny Uchaguzi mkuu. Hata uamuzi wa kuahirisha ya chaguz as Meya kinondoni ni njama zake za hujuma. Ccm ni kama ncha ya mshale haikomolewi kwa kuikalia
 
Kuna mdau alileta uzi humu akidai Musa Natty alikuwa mkusanya pesa na mratibu wa kampeni za Lowassa Kinondoni.Sasa naanza kuunganisha dots.Hicho kiherehere cha Kubenea kumtetea huyo fisadi kina mengi nyuma yake na ni mwendelezo tu.Leo hii wapinzani wako radhi kuyatafutia wakili mzuri mafisadi ili yashinde kesi ilhali jana tu walisema CCM wote ni wezi.Siasa za nchi hii ni vituko kweli.
 
ukiwa mtu amani utaitwa mhujumu.Ukinibamiza na shoka utapata cheo tz very primitive
 
Kuna mdau alileta uzi humu akidai Musa Natty alikuwa mkusanya pesa na mratibu wa kampeni za Lowassa Kinondoni.Sasa naanza kuunganisha dots.Hicho kiherehere cha Kubenea kumtetea huyo fisadi kina mengi nyuma yake na ni mwendelezo tu.Leo hii wapinzani wako radhi kuyatafutia wakili mzuri mafisadi ili yashinde kesi ilhali jana tu walisema CCM wote ni wezi.Siasa za nchi hii ni vituko kweli.
Kumbuka hata Bade alipoguswa tulianza kuaminishwa kuwa ni kwa sababu ni UKAWA na si fisadi. Hawa jamaa wamepotea mbaya!
 
Kusaini mkataba ni suala lingine na utekelezaji ni mwingine.Natty alitakiwa atumie busara kuvunja mkataba sio kwa kua kasaini mwingine basi akae kimya.Nati amekutwa tu na ngozi ya chui wakati alieua chui ni mwingine.Isitoshe serikali inajua kuliko kubenea.
kweli chadema wamekua watetezi wa mafisadi

Mkuu kwa kweli hata mie nimebaki nimeduwaa, Chadema tuliyoifahamu kwa miaka mingi sasa ndo imegeuka si tu kuwa watetezi wa mafisadi bali hata kimbilio lao. Tunamshkuru Mungu hawa watu hawakupewa mamlaka ya kuongoza Tanzania. Tunawashkuru watz na wale wote waliowezesha Magufuli kuingia Ikulu
 
Tatizo lako unaongea nyuma ya Keyboard na hutaki kutafuta ukweli wa jambo kabla hujasema kitu.

Kinacholalamikiwa ni kwamba kuna wahusika bado hawajawajibishwa, hivyo upinzani wanataka idadi yao iongezwe na siyo kuwatoa kafara dagaa ikiwa sangara wanaachwa wakitanua.

Wote wanatakiwa kuwajibishwa kwani wapo waliosaini mkataba mbona hawajaguswa???? ndio hoja ya msingi waliyo nayo Upinzani.

Msitete ujinga kwani kuna siku mtabaki na aibu ikigundulikwa kuwa ni kweli kuna vigogo waliosaini ambao hawamo katika kuwajibishwa.
 
Sasa tume ya nini? naona mambo ya tume hayana tija kwa sasa, MUHIM NI KUTUMBUA JIPU TU

Anatafuta ulaji kuwa tume ikuundwa atataka wabunge nao washirikishwe!!!! Wale posho wakati hawajui hata kipimo cha lami kinapimwaje.
 
Kusaini mkataba ni suala lingine na utekelezaji ni mwingine.Natty alitakiwa atumie busara kuvunja mkataba sio kwa kua kasaini mwingine basi akae kimya.Nati amekutwa tu na ngozi ya chui wakati alieua chui ni mwingine.Isitoshe serikali inajua kuliko kubenea.
kweli chadema wamekua watetezi wa mafisadi

Kama hujui mambo ya mikataba kaa kimya
 
Kashfa zote hizo kwa Engineer Musa ni kwa sababu ya imani yake thabiti akidini tuu hakuna jingine.Huu mfumo uliopo madarakani unajulikana kama hukusoma seminari huna lako

Wewe umechanganyikiwa na huna akili hata kidogo, udini wako peleka chooni au katupe uko
 
Sasa tusubiri "makala ya uchunguzi" kwenye magazeti ya Kubenea kumtetea huyu fisadi kiongozi wa team Lowasa. Anasahau kuwa huyu mkurugenzi amesimamishwa kwa makosa mengi, hilo la cocobeach likiwa mojawapo. Halafu baada ya muda kidogo hivi huyu Kubenea atayakana hayo makala kama alivyoyakana yale ya ufisadi wa Lowassa. Ila ukweli UTASIMAMA bila kujali Kubenea ameandika nini na amekanusha nini!!!

Kusaini mkataba ni suala lingine na utekelezaji ni mwingine.Natty alitakiwa atumie busara kuvunja mkataba sio kwa kua kasaini mwingine basi akae kimya.Nati amekutwa tu na ngozi ya chui wakati alieua chui ni mwingine.Isitoshe serikali inajua kuliko kubenea.
kweli chadema wamekua watetezi wa mafisadi
 
sasa naamini musa naty kweli alikuwa katibu wa kampeni wa team lowasa wa kinondoni
 
Kama ni rahisi hivyo kuvunja mikataba kwanini usiishauri serikali ivunje na mkataba wa IPTL? na ile ya madini?

mkuu uko sahihi kuna watu wanapenda kukurupuka bila kufikiri kwani iwe rahisi kuvunja mkataba huu na mwingibe isiwe rahisi
 
Kusaini mkataba ni suala lingine na utekelezaji ni mwingine.Natty alitakiwa atumie busara kuvunja mkataba sio kwa kua kasaini mwingine basi akae kimya.Nati amekutwa tu na ngozi ya chui wakati alieua chui ni mwingine.Isitoshe serikali inajua kuliko kubenea.
kweli chadema wamekua watetezi wa mafisadi

Mkurugenzi hawezi kukwepa hata siku moja yeye ndio anayewajibika kwa kila kitu kuanzia kuandaa mikataba wanasiasa wanasaini tu vitu wanavyopelekewa na wataalam wakiongozwa na Mkurugenzi
 
Tatizo lako unaongea nyuma ya Keyboard na hutaki kutafuta ukweli wa jambo kabla hujasema kitu.

Kinacholalamikiwa ni kwamba kuna wahusika bado hawajawajibishwa, hivyo upinzani wanataka idadi yao iongezwe na siyo kuwatoa kafara dagaa ikiwa sangara wanaachwa wakitanua.

Wote wanatakiwa kuwajibishwa kwani wapo waliosaini mkataba mbona hawajaguswa???? ndio hoja ya msingi waliyo nayo Upinzani.

Msitete ujinga kwani kuna siku mtabaki na aibu ikigundulikwa kuwa ni kweli kuna vigogo waliosaini ambao hawamo katika kuwajibishwa.
mizambwa: mbona una haraka ya kutaka majibu, hukumu na adhabu papo kwa papo! 'Accounting Officer' wa Halmashauri au Manispaa ni Mkurugenzi. Kakamatwa na anasaidia uchunguzi. Naamini unajua maana ya uchunguzi. Hata jipu linapotumbuliwa hupona pale ambapo kiini chake kinang'olewa.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Last edited by a moderator:
Kusaini mkataba ni suala lingine na utekelezaji ni mwingine.Natty alitakiwa atumie busara kuvunja mkataba sio kwa kua kasaini mwingine basi akae kimya.Nati amekutwa tu na ngozi ya chui wakati alieua chui ni mwingine.Isitoshe serikali inajua kuliko kubenea.
kweli chadema wamekua watetezi wa mafisadi

Sijui Kama Chadema Au UKAWA Ndio Waliosema Hayo Maneno Ya Kuhusu Huo Ufisadi Wa Kuuzwa Kwa Ufukwe Wa Coco!!!??? Hapo Amezunguma Said Kubenea Kama Mhandishi Wa Hbr!!! Hakusema Akiwa BUNGENI Ndani Kambi Ya UPINZANI!!!! Amesema Huo Mkataba Wa Manispaa Na MANJI Ameukuta Umeshasainiwa Na Huyo Aliyekuwa Naibu Meya Na Mkurugenzi Aliyepita!!! Wao Ndio Waliovunja Na Kupelekea MANJI Kwenda MAHAKAMANI!!! Labda Sijui Ktk MIRADI Ya Ujenzi Wa Barabara, Ambazo Nyingi Zimejengwa Chini Ya KIWANGO!! Na Ile Ya VIWANJA Ktk HALMSHAURI Hiyo!! Ndio Maana Amesema Iundwe Tume Huru Ya KUCHUNGUZA Kadhia Zoote Hizo!! Ili Mwisho Wa Siku Walipa KODI Tujuzwe Ni Nani ALIYEHUSIKA Na Utumbo Wooote Huo!!! Si Kumlinda Au Kumchafua Mtu!! Sasa Sijui Hoja Ya Chadema Inaingia Vp Hapo!!!?
 
mizambwa: mbona una haraka ya kutaka majibu, hukumu na adhabu papo kwa papo! 'Accounting Officer' wa Halmashauri au Manispaa ni Mkurugenzi. Kakamatwa na anasaidia uchunguzi. Naamini unajua maana ya uchunguzi. Hata jipu linapotumbuliwa hupona pale ambapo kiini chake kinang'olewa.

TAFAKARI CHUKUA HATUA

Pamoja sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom