mkuu uko sahihi kuna watu wanapenda kukurupuka bila kufikiri kwani iwe rahisi kuvunja mkataba huu na mwingibe isiwe rahisi
Magufuli amezoea kuendesha mambo kwa majungu asipobadirika ataumbuliwa asubuhi mpaka usiku kwa nyaraka zenye ukweli
mkuu uko sahihi kuna watu wanapenda kukurupuka bila kufikiri kwani iwe rahisi kuvunja mkataba huu na mwingibe isiwe rahisi
Kusaini mkataba ni suala lingine na utekelezaji ni mwingine.Natty alitakiwa atumie busara kuvunja mkataba sio kwa kua kasaini mwingine basi akae kimya.Nati amekutwa tu na ngozi ya chui wakati alieua chui ni mwingine.Isitoshe serikali inajua kuliko kubenea.
kweli chadema wamekua watetezi wa mafisadi
Nilidhani anachunguzwa kwa tatizo la barabara za manispaa ya Kinondoni! Huyu Kubenea ni zero brain
kwa mkurugenzi akipokea halmashauri anafuta mikataba watu wa magufuli muliopandikizwa kwenye mitandao muwe na akili ya kujenga hojaMwenye mamlaka ni mkurugenzi so hiyo dio excuse
Tatizo la book saba muko kama magarasa tu munadhani nchi ya mama yenu munaweza kuendesha mutakavyo salamu kwa magufuli nchi haiendeshwi kwa majungu Kama Natty alikusanya fedha za lowassa SOmaiya Manji Rostam na Januari makamba walikusanya za magufuli sioKuna mdau alileta uzi humu akidai Musa Natty alikuwa mkusanya pesa na mratibu wa kampeni za Lowassa Kinondoni.Sasa naanza kuunganisha dots.Hicho kiherehere cha Kubenea kumtetea huyo fisadi kina mengi nyuma yake na ni mwendelezo tu.Leo hii wapinzani wako radhi kuyatafutia wakili mzuri mafisadi ili yashinde kesi ilhali jana tu walisema CCM wote ni wezi.Siasa za nchi hii ni vituko kweli.
We toka lini mkataba ukasainiwa na na naibu meya peke yake bila ya mtendaji
Bado najiuliza kwanini huyu mtetezi wa mafisadi ana hitaji tume ikiwa ana jua ukweli? Namuambia kuwa serikali ya Magufuli haina hela za kupoteza kwenye tume...!Kwani kuna kipya ameleta huyu mleta mada? Mashtaka ya Natty ni zaidi ya Coco Beach.
Wamechanganyikiwa hawa.
magufli sasa hivi akipanda kwenye TV kutoa maamuzi kupitia majungu wananchi watamuumbua mchana kweupe kwa vielelezo maalumu swala la Natty si la kubenea ni la kitaifa kukomesha ubabe wa team ya waongo wa serikali wa magufuli kuandama vidagaa kuacha mapapa na manyangumi mafisadi akiwemo yeye aliyeuza nyumba za serikaliKitendo cha Kubenea kukana maandiko yake kisa kapewa tonge kitamdhalilisha maisha yake yote na hata angefanya nini inafahamika muda wowote mtu akifika bei Kubenea atakana. Mtu aina ya Kubenea KAMWE hawezi kuwa shujaa
Wanamuwashia taa nyekundu Magufuli afanye kazi ache visasi chuki na kufanyia kazi majungu ataaumbuka sana kwenye utawala wake watu watakuja na vielelezokubenia kubwa jinga anafikiri ni tuhuma moja tu anayotuhumiwa katibu wake wa kampeni musa naty
Ndio tunachokitaka na Magufuli apishe ikulu anadaiwa nyumba zetu za serikali na namna alivyoingiza hasara nchi kwa kutumbua billion 360 kuzipoteza bila kujulikana ziko wapi akiwa ujenzi rejea ripoti ya CAGFukunyua uozo wote hata kama ni miaka 20 iliyopita
Ili mradi Makonda na Lukuvi wakiwemo lakini sio kumbagua kwa kuwa yeye ni muislamuKwani kuna kipya ameleta huyu mleta mada? Mashtaka ya Natty ni zaidi ya Coco Beach.
kwa mkurugenzi akipokea halmashauri anafuta mikataba watu wa magufuli muliopandikizwa kwenye mitandao muwe na akili ya kujenga hoja
IPTL Jipu kuu anayelijua MUHONGO liliwahi kumtumbua akaota tenaKama ni rahisi hivyo kuvunja mikataba kwanini usiishauri serikali ivunje na mkataba wa IPTL? na ile ya madini?
nadhani watu kama Makonda na Lukuvi watakuwa wamechanganyikiwa zaidiWamechanganyikiwa hawa.
Kwa sababu Magufuli anamsikiliza Makonda msukuma mwenzake kwa hiyo amefanyia maamuzi majungu na wananchi hawawezi kukubali huwezi taja makosa ya mtu kama unafanya uchunguzi na unachunguza mmoja kati ya viongozi husika magufuli mkabila mbona makonda msukuma mwenzake yupo ofisini anadundaHivi Kubenea nn kinamuwasha? Hiyo issue ishaanza kufanyiwa kazi yeye kila siku akipata vipeperushi viwili anaibuka ili aonekane kaibua yeye hiyo kashfa au? Magufuli anayajua hayo yote na mambo yanenda kwa atua jana katua jijini tusubiri mambo yataendaje kubenea usichanganye watu, awe Natty au nani yoyote aliyehusika kuuzwa sehemu yoyote ya wazi halali yetu
mutalisoma jiji kazi ndio imeanza, wahujumu uchumi wote wataanikwa including yule anayemnyanysasa Natty wakati yeye mwenyewe anamakosa ya kuuza nyumba na kupoteza bilioni 360kama ni kubenea katoa hizo doc basi ni feki kama zile za richmond tu.
Kashfa zote hizo kwa Engineer Musa ni kwa sababu ya imani yake thabiti akidini tuu hakuna jingine.Huu mfumo uliopo madarakani unajulikana kama hukusoma seminari huna lako
Kashfa zote hizo kwa Engineer Musa ni kwa sababu ya imani yake thabiti akidini tuu hakuna jingine.Huu mfumo uliopo madarakani unajulikana kama hukusoma seminari huna lako
Gharama za kuvunja mikataba zingelipwa na nani? Unajua alikuta utekelezaji umeanza kwa kiwango gani? Acha kuleta dharau kwa chadema , JK nae awajibishwa kwa kuwa yeye ndie alitakiwa akatae hayo mapendekezo pamoja na waziri wa ujenzi wa wakati huo, sio kumbebesha lawama mkurugenzi aliekuta kila kitu tayari, haya tunasubiri Magufuli afute ile mikata ya gass ambayo JK aliipitisha kwa hati ya dharura kama gass ilikuwa inayeyuka.Kusaini mkataba ni suala lingine na utekelezaji ni mwingine.Natty alitakiwa atumie busara kuvunja mkataba sio kwa kua kasaini mwingine basi akae kimya.Nati amekutwa tu na ngozi ya chui wakati alieua chui ni mwingine.Isitoshe serikali inajua kuliko kubenea.
kweli chadema wamekua watetezi wa mafisadi