Sakata uuzwaji Coco Beach lageuka, Kubenea aonesha mikataba

Kuna uzi flnai ulipodtiwa eiki iliyopita kuhusu huyu DED wa kinondoni, mi nilicomment nikasema pamoja na mengine Ishu kubwa hapa ni matokeo ya uchaguzi,
Ndy haya tunasikia sasa tusubiri tuone
 
Yaani Magufuli hana hata miezi mitatu mshaanza kuhubiri udini ?? Vipi kwa Jk aliyekua madarakani miaka 10 ??

Muulize huyu ambaye anawaza na kufikir kama id yake ilivyo...hawa hawachelewi kuwaambukiza watu hisia za dini...fikra chafu
 
Kwa sababu Magufuli anamsikiliza Makonda msukuma mwenzake kwa hiyo amefanyia maamuzi majungu na wananchi hawawezi kukubali huwezi taja makosa ya mtu kama unafanya uchunguzi na unachunguza mmoja kati ya viongozi husika magufuli mkabila mbona makonda msukuma mwenzake yupo ofisini anadunda

Sasa kubenea anauwezo gani wa kumfanya rais afanye atakacho yeye? Rais tuliyempata alishajipambanua tangia awali kuwa katika serikali yake matajil kuvamia maeneo ya wazi hiko kitu hakiwezekani nyie na kazi yule mtuhumiwa kashasimamishwa amerudi dar kwa mahojiano maalumu ili kilakitu kijulikane na mwenye makosa achukulie atua stahiki nyie mumeshika kucheza na media tuuuu kwan Magufuli akisema aachane nalo na mkatana uendelee kama kawaida wanaweza kumfanya nn? Tatizo wanasiasa wetu wanaishi kwa matukio hii ndio shida ya kubenea
 
WAKATI Serikali ikimsimamisha kazi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mhandisi Mussa Natty, kwa madai kuwa pamoja na mambo mengine alihusika kuuza ufukwe wa Coco Beach, sakata hilo limevaa sura mpya baada ya Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea na Diwani wa Kata ya Ubungo, Boniface Jacob, kuibuka na kutoa mktaba unaaonyesha kuwa eneo hilo liliuzwa kabla ya Mhandisi huyo kuanza kazi Kinondoni.

Mbunge huyo na Diwani ambao wote wanatoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jana waliwaeleza waandishi wa habari kuwa, Natty kawajibishwa kwa sababu za kisiasa ikiwemo kutenda haki katika Uchaguzi Mkuu uliopita.

Katika uchaguzi huo, majimbo ya Wilaya ya Kinondoni yote yalichukuliwa na vyama vinaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jambo ambalo viongozi hao walisema Natty alitakiwa kutangaza washindi kuwa ni wagombea wa CCM.

Akielezea suala hilo, Diwani wa Ubungo, Boniface Jacob, alisema tangu kumalizika kwa uchaguzi wameshuhudia wakurugenzi mbalimbali wa halmashauri ambazo wapinzani wameshinda wakishughulikiwa kwa mgongo wa kutumbua majipu.

?Nafsi zetu zinatusuta endapo tukikaa kimya huku tunaona wakurugenzi wa halmashauri wanashughulikiwa kwasababu walikataa kutekeleza maagizo haramu kipindi cha uchaguzi ikiwemo Kinondoni na wengine wa Mbeya, Iringa na Mtwara.

?Kama kuna ufisadi umetokea hatutamtetea mtu na kama kuna mtu tunaona anaonewa hatutakaa kimya na hili la Natty tunamwomba Rais John Magufuli aunde tume huru ambayo haitahusisha TAMISEMI wala Wizara ya Ardhi akiwemo Lukuvi (Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi), kwa sababu wana masilahi katika suala hilo,? alisema Jacob.

Alisema anashangazwa na tuhuma zilizotangazwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Jumanne Sagini ya kumsimamisha kazi Natty.

Katika tangazo lake, SSagini alidai kuwa Natty anatuhumiwa kwa usimamizi mbaya wa ujenzi wa barabara, ukosefu wa uadilifu katika ubinafsishaji wa ufukwe wa Coco na malalamiko ya wananchi juu ya viwanja katika eneo la Kinondoni.

?Ukiangalia suala la barabara kitabu cha makabidhiano ya halamashauri cha mwaka 2010 kinaonesha mikataba yote ya barabara hizo, Natty aliingia kazini akaikuta mikataba ya barabara imekwishasainiwa na wakurugenzi waliomtangulia akiwemo Ndunguru (Raphael Ndunguru 2009-2011) na Fwema (Fortinatus Fwema 2011-2013).

?Ndunguru ndiye aliyeleta miradi ya lami nyepesi ambazo zinagharimu milioni 500 kwa kilometa moja baada ya kutoa hoja kuwa barabara za vumbi zinagharimu milioni 300 na mvua zikinyesha zinaharibika upesi hivyo bora ziwekwe lami nyepesi na ziwe zinafanyiwa ukarabati pale zinapoharibika.

?Hapo Natty anahusika vipi ikiwa waliomtangulia ndio walioidhinisha kiwango cha barabara na walijua lazima ziwe zinaharibika baada ya muda fulani,? alisema Jacob.

Kuhusu tuhuma ya malalamiko ya wananchi kuhusu viwanja alisema migogoro ya ardhi ilikuwepo tangu zamani na imeendelea kuwepo nchi nzima, hivyo madai hayo hayana mashiko.

Mkataba wa uuzwaji wa fukwe

Kwa upande wake Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea, alieleza namna ubinafsishwaji wa Coco beach ulivyofanyika ambapo alimtetea Natty na kusema kuwa mchakato wa kuuzwa kwa ufukwe huo ulianza muda mrefu kabla ya mkurugenzi huyo kushika wadhifa huo.

Kubenea alionesha mkataba wa makubaliano kati ya Baraza la Manispaa ya Kinondoni na Q- Consult Limited kampuni inayomilikiwa na mfanyabiashara Yusuph Manji ambaye ndiye mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo.

Mktaba huo ulisainiwa Desemba 21, mwaka 2007 ambapo kwa upande wa Manispaa ya Kinondoni ulisainiwa na Naibu Meya wa wakati huo, Julian Bujugo na Mkurugenzi wa Manispaa ambaye alikuwa ni Noel Mahyenga huku upande wa Q-Consult ukisainiwa na S. Sampatihkumar na B. N. Arvind wote wakiwa wakurugenzi katika kampuni hiyo.
 
Kubenea sasa hivi ni fisadi kamili. Kwa hiyo anataka ufukwe wa coco ubaki kwa mtu mmoja!
 
kwani hilo ni jipya tume ngapi na kamati ngapi zimeshaweka ripoti mezani sasa aache kutarget vidagaa aanze na mapapa Magufuli anarecycle yaliyosema na wabunge a upinzani achukue hansard afanyie kazi sio kutafuta sifa tuu
 
Huu uzi mbn umebadilishwa tuu Kichwa cha habari.(Ulishapostiwa)
 
Hiyo buku saba labda napewa na mumeo.Huyo Natty tayari kasimamishwa kwa uchunguzi,hicho kiherehere cha kuanza kumtetea kwenye baadhi ya tuhuma Kubenea amekitoa wapi?Si asubirie ripoti itoke ndo alete huo upuuzi wake tuuone ili kama majungu yajulikane.Kuna ulazima gani wakuanza kudandia uchunguzi unaoendelea kama hana maslahi na huo ufisadi wa Natty.Kila siku mnaimba wanaCCM wote wezi,leo hicho kimbele mbele cha kuanza kuwasafisha kwenye tuhuma za ufisadi kinatoka wapi?Hayo makopo ya Edo yaliyomchotea fedha za umma kufadhili kampeni zake lazima arushiwe so jiandaeni kuyadaka.Kama unaushahidi wa hao uliowataja nenda mahakamani or SHUT UP.
Makosa makubwa Magufuli anafanya ili mradi Makonda Lukuvi hajawasimamisha wakati mambo hayo unayoita ya ufisadi yanafanyika walikuwepo ni maamuzi ya kipuuzi na upendelea justice should be termed justice sio mapapa manyangumi yanaangaliwa tuu Magufuli kainigia ikulu kwa pesa za mafisadi wokubwa wa nchi hii kila mtu anajua nchini na dunia inajuaa na yeye mwenyewe anajua ndio maana ana bana hawezi wachukulia hatua maana kafaidika
 
Nimekumbuka yule mtoto wa kiarabu Baghdad aliyeuziwa viwanja vya Mnazi Mmoja..
 
Wanabodi

Kubenea simwamini tena, yaan hana hoja, ndiye mbunge wa hovyoo kabisa kuwahi kuwepo kwenye bunge tangu limeanzishwa..
Serikali haina audacity ya kushitaki baadhi na wengine kuacha mpaka sasa mtu wa kusimamishwa kazi alikuwa Magufuli mwenyewe tukianzia na meli aliyoinfungua kwa mbwembwe na mpaka sasa haifanyi kazi mbona kanyamaza majipu kayaona kwa Natty kwa sababu anajua atawaumbua anamnyamazisha ki namna sasa
 
Kusaini mkataba ni suala lingine na utekelezaji ni mwingine.Natty alitakiwa atumie busara kuvunja mkataba sio kwa kua kasaini mwingine basi akae kimya.Nati amekutwa tu na ngozi ya chui wakati alieua chui ni mwingine.Isitoshe serikali inajua kuliko kubenea.
kweli chadema wamekua watetezi wa mafisadi
Yaani wewe punda kweli hivi ule mkataba wa RICHMOND wabunge walitamka kuwa uvunjwe je hali ilikuwaje.
 
Kama ni rahisi hivyo kuvunja mikataba kwanini usiishauri serikali ivunje na mkataba wa IPTL? na ile ya madini?
ww ni mtu mmoja mbaya sana!!!!! unapiga chini ya mkanda, IPTL ni mwiba mchungu sana tena kuliko maelezo. umesema ukweli mtupu mkataba hauwezi vunjwa kama muwa
 
Kashfa zote hizo kwa Engineer Musa ni kwa sababu ya imani yake thabiti akidini tuu hakuna jingine.Huu mfumo uliopo madarakani unajulikana kama hukusoma seminari huna lako

ID yako imekuhusu vilivyo kwenye hili..........
 
Back
Top Bottom