mizambwa: mbona una haraka ya kutaka majibu, hukumu na adhabu papo kwa papo! 'Accounting Officer' wa Halmashauri au Manispaa ni Mkurugenzi. Kakamatwa na anasaidia uchunguzi. Naamini unajua maana ya uchunguzi. Hata jipu linapotumbuliwa hupona pale ambapo kiini chake kinang'olewa.
TAFAKARI CHUKUA HATUA