Nikweli na wanaigeria Wana penda kuja kutalii Zanzibar Wana vijipesa tofauti nasiye wanyonge tusiyojua kutumia pesa wanigeria na waKenya wanapenda kuja kutalii ZanzibarIli jambo humu mnachukulia mzaha lkn uko Twitter wanaigeria wamechafukwa hotel imeenguliwa nyota kutoka 4.5 mpk 1.5 ishu ishakuw kubwa
Nawaza ukute hotel ni ya kigogo.... Very sadYes Logde nyingi tunaingia humu mitaani zina camera na ni za bei za kawaida.
Bora hata wameshushwa to one star.
Nenda twitter kaweka ushahid had maelezo alioandika police plus video akiwa kituo cha polis na report ya daktarMie si mtu wa kuabudu sana wageni so hzo clip mpaka nizione ndo naweza sema kama si mtengeneza jambo. Kinyume cha hapo tuache chuki kwa jeshi letu la polisi.
Polisi ccm ndo inakulinda nawe
Sasa pombe anywe chumbani kwake peke yake ina uhusiano gani na kubakwa.Huyo mpopo tapeli tu
eti mbakaji alienda kuchukua condom!
kwanza huyu alikuwa kalewa eti "aliponishika matiti nikahisi naota"
ni nini kama sio pombe hizo?
Si kajibu kua alikua anapata tiba kwa therapist,au lugha haipandi ndugu yangu?Nimejaribu kusoma ile thread ya muhusika kule twitter nimebaki na maswali mengi sana,kwanini aseme kipindi hiki?
Waliyo fanya tukioa watakuwa vijana kutoka Tanganyika watakuwa wamasai ina maana hotel haina walinziIla wazanzibar wanavyoisifiaga Zanzibar mbona leo siwasikii Kwenye space
Zanzibar nako kuna sehemu inaitwa Itigi?Hiyo Warere Beach hoteli ni ile ya Itigi?
Wapo sahii mkuu Raia kutoka South Africa Kenya na Nigeria wanakuja sana kutalii Zanzibar na kweli wanafanyiwa vitendo vibaya , waharifu wanashirikiana na polisi kuwaibia wageni vitu na pesa na kugawana niliwaikushuudia polisi waliwakuta wazungu wamekaa beach usiku polisi wakaanza kuwasumbua na kuwatishia kuwabambikia kesi ya madawa ya kulevya ili wapewe pesa na wazunguView attachment 2190348
View attachment 2190349
View attachment 2190350
View attachment 2190351 Hii ishu ichunguzwe tujue upande wa pili hawa watu wasije tuharibia, naona wengi wanachangia sijui waliporwa hela sijui vip na wakenya,wasouth wamekomalia nao hatari,,kwa matukio wanayofanya duniani hadi dunia inawaogopa hmm sijawahi waamini WaNigeria kwakweli
Zainab has 100% my support she deserved justice by the hotel na authorities. Ila addressed nations above wapo kupush agenda ya Cancel CultureUsitete wabakaji mzee
Katika nchi za Africa waNigeria wananchi wake wanapenda kuja tembelea Zanzibar wakifatiwa na South Africa, Kenya wananchi wa hizo nchi wanapenda kutembea tofauti na Sisi watanzania bado tupo nyuma kwenye mambo ya kutaliiSijawahi kuwaamini wanaigeria, ni watu hatari sana linapokuja suala la pesa au kutafuta huruma kupata umaarufu.
Hii story hujaielewa kabisa kaisome tenaSasa pombe anywe chumbani kwake peke yake ina uhusiano gani na kubakwa.
Exposure muhimu sana aisee. Nchi za wenzetu madogo hata wa miaka 18 tu wanaenda vacation nchi za mbali kabisa kama solo travellers, unashangaa dada wa miaka 23 kusafiri peke ake kutoka Nigeria tu hapo. Tatizo la mitoko ya wabongo wengi ni kupelekana bar zenye lodge hapo hapo, kunywa bia huku ushalipia chumba, kumalizia kwa mgegedo basi shughuli imeisha. Serengeti tu hapo kuna watu kibao mpaka leo hawajawahi kwenda kutaliiHuyo Mnaigeria amekaa kimya mwaka mzima hadi Rais SAMIA anazindua ROYAL TOUR ndiyo anaibuka? Hivi ni mimi tu kuna wengine wanaona giza kuhusu hii story? Why now? Halafu binti wa miaka 23 anatoka Nigeria kusheherekea birthday yake peke yake? Au alikuwa ameleta mzigo wakapishana na mwenyeji wake?
Ulitaka avae nini beach? Kwa hiyo wewe mtu akivaa hivyo unaruhusiwa kumbaka? Unajielewa kweli? Nimekuja kugundua wanaume wengi sana ni wabakajiKwa style aje aseme alitaka kubakwa kweli??
View attachment 2190599
Seems shady, kwa rate ya wanaume wanao support ubakaji kwa thread hii tu basi hilo tukio lilitokea.