Sakata la viungo vya binadamu IMTU, Big picture

Sakata la viungo vya binadamu IMTU, Big picture

uufikiri wangu mfupi ni swala la undugu na kujua katika kupewa majukumu muhimu kwa jamii. Mfano mtoto was mzee yupo kwenye idara ya ukaguzi then anapewa watoto wa maza mdogo awakague hata akiwa na makosa wakikaza watapgiwa waliowapeleka kazi(mzee na maza mdogo). Same case to NGO's.. Maoni tu
 
hilo ni tukio kama matukio mengine yaliyopita nalo litapita na kusahaulika. tanzania tuna mipango mingi ya zimamoto.
 
Kila siku tunawalaumu wanasiasa kuwa hawajasoma ndio mana mambo wanapeleka kienyeji enyeji.. Sasa leo lipo kwa Madaktari tena Chuo kikubwa uozo ambao haujawahi tokea au mimi sijawahi usikia.
Kama wasomi wanaendesha mambo yao hivi je hizo sector nyengine???? Ndio mjue Nchi hii imeoza kitambo kila idara. Fedheha kubwa sana hii jamani
 
Kama ilivyo kawaida ya Nchi yetu, ni Nchi inayoendeshwa kwa matukio, tukio lililopo kwenye peak kwa sasa ni hili la IMTU na masalia ya viungo vya binadamu, Cadaver remains, si lengo langu kushabikia kile kilichofanyika kwani ni kinyume kabisa na maadili ya kidaktari,Medical Ethics ,na haki za binadamu, Human rights. Hatua stahiki inabidi zichukuliwe dhidi ya wahusika.

Kumejitokeza mtiririko wa matamko mbalimbali,ikiwemo la MAT, Chama cha madaktari




















inawezekana umeandika kitu cha maana ila umenikera ulipoweka makiingereza meengi hii imenikera kwa kuwa umeonesha ushabiki wako wa kitumwa pole sana.
 
Umeandika ukweli wote, hasa hapo nilipobold. Najiuliza hivi:Je kuna chombo/mamlaka yoyote ya serikali inayosimamia uzingatiaji wa maadili kwenye vyuo vya afya? Kitu kama:Tanzania Medical Practice Authority? Chombo kama hicho ndio kilitakiwa kishinikize IMTU ama kujenga Incinerator yake au kiache kuendesha mafunzo ya udaktari.

Lakini inavyoelekea ni kwamba watendaji wa Wizara ya Afya wanajifungia ofisini mwao wakidhani kwamba kila kitu kiko sawasawa kwenye tasnia ya afya. Sasa, haya ya IMTU yamefichua mengi na kuvuruga mawazo ya watanzania.Ukisoma kwenye mitandao, watu wameanza kuamini kwamba kumbe ndugu zao wanaopotea na kutoonekana tena wanaishia kwenye maabara za vyuo vya afya ili watumike kufundishia madaktari wa mwaka wa kwanza! Serikali kamwe isikae kimya na kuachia haya mawazo yaendelee kuwepo kwenye vichwa vya wananchi. Sitashangaa nitakaposikia maabara ya shule ya udaktari ya UDOM imevamiwa na wananchi wa Dodoma waliopotelewa na mpendwa wao.

Serikali haraka itoe kauli (tamko) haraka kuelezea mabaki ya viungo vya binadamuvilivyoonekana Bunju ni vya watu gani na waliotoka wapi. Ikumbukwe kwamba kwa Dares Salaam kumekuwepo matukio kadhaa ya watu kupotea na kutoonekana tena. Utamzuiaje mtu aliyepotewa na ndugu asiamini kwamba baadhi ya mabaki ya binadamu yaliyo gunduliwa si ya ndugu yake? Serikali haraka itoe tamko la kueleweka kuondoa mawazo haya na ieleze waziwaziitadhibitije hii hali ya utupaji ovyo wa mabaki ili isitokee tena popote hapa nchini.

Mkuu, nafikiri hapo 'peusi' ndio penye shida, kwani huu ndio utendaji wa karibu sekta zote ndani ya serikali.....ni wataalam wa kusema...ofisi yangu iko wazi....mwenye taarifa atuletee tuifanyie kazi.....seriously?
 
Hivi ktk taasis kubwa na hatarishi kama hii serikali haijaweka shushu hata mmoja???, kama hakuna uthibiti si imtu inaweza ikawa inatuma wapiga nondo kugonga watu na kuwaletea mizoga????

You have a point mkuu!
Wasiwasi wangu Ni kwamba yawezekana kabisa wanafunzi hulazimika kujitafutia maiti mtaani maana hakuna hata ufatiliaji wa karibu unaofanywa na mamlaka zinazohusika.
 
Jamani eee! pamoja na yoote hayo ulioongea mimi naomba tu unijulishe hizo maiti walizipata wapi? je ni watu wanaofia hapo hospital na kukosa ndugu wa kuwachukuwa? au ni mitego iliwekwa kupata hizo maiti? Au walizinunua? Unajua kuna ndugu zetu wanapoteaga na kutafutwa bila mafanikio ... isije ikawa wamo humo!

Kwa sasa mtu akipotelewa ndugu au jamaa inabidi breki ya kwanza kumtafutia kwenye hivyo vyuo vya udaktari.
 
Mi nna wasiwasi anaweza akajisahau akafikiri we ni kadava af akakufanyia majaribio ya ajabu ajabu.., naogopa sana..!
 
Unapoumwa huwa unauliza vyeti vya anayekutibu???!!!!!

Sio anaweza kujisahau ila ni ukweli wa wazi wewe FRANCIS DA DON ni potential cadaver unless otherwise!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wengi wajinga sana.
Kwani Doctor ambae bado ni mwanafunzi alihusika vipi na kutupa hiyo miili na vipande vya watu?
Tunapenda sana kwenda na matukio ndio maana siki ya tukio watu waliongea mengi kila mtu na lake
 
Watanzania wengi wajinga sana.
Kwani Doctor ambae bado ni mwanafunzi alihusika vipi na kutupa hiyo miili na vipande vya watu?
Tunapenda sana kwenda na matukio ndio maana siki ya tukio watu waliongea mengi kila mtu na lake

Kwahiyo wewe unaamini kabisa kuku anaweza kutotoa ng'ombe si ndio..??! au tembo akazaa sungura si ndio..??!
 
IQ zetu bana..ngoja upate ngoma au OI(oportunistic infection) kama kaposis sarcoma uoene kama utachagua daktari..!!
 
IQ zetu bana..ngoja upate ngoma au OI(oportunistic infection) kama kaposis sarcoma uoene kama utachagua daktari..!!
Hivi ni kwanini uite ngoma..., si useme tu UKIMWI tena kwa herufi kubwa.., haya maswala ya kulainisha ukali ndio inafanya watu waone ni kitu cha kawaida..
 
Mbona mademu unakuta kapigwa na mizakari hata mia na bado unapiga dry? Acha zako bwana
 
tena huyo ndo kahitimu vizuri, mpaka viroba 85 vya mabaki unazani mchezo?
 
Back
Top Bottom