Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,135
- 144,636
Sabaya kupelekwa mahakamani ni jambo moja, na kitachojiri mahakamani, ni jambo lingine na ambalo ndio la msingi zaidi. Hivyo, tujipe muda badala ya kufurahia kuwa haki imetendeka.
Kumbukeni: Zimwi likujualo, halikuli likakwisha.
Mwisho, tujiulize Sabaya aliyatenda haya bila kuwa na baraka za mtu au watu fulani?
Na hao TAKUKURU watakuwa tayari kuwasilisha ushawishi au maelezo yatayohusisha waliokuwa wanamtuma (kama alikuwa anatumwa?)
Na vipi Sabaya akiamua kuweka kila kitu hadharani in case alikuwa anatumika?
Nitakuwa wa mwisho kuamini aliyatenda haya pasipo vyombo vya dola vilivyodhibiti ujambazi kuyajua.
Time will tell.