Sakata la Sabaya tusilipime kwa yeye kufikishwa Mahakamani

Muda pia utasema kama jiwe alikuwa anafungia macho majambasi aina ya Sabaya.
Hili sakata lina shuhuda nyingi sana dhidi ya Ole
Kama ni za kweli amevuruga na hachomoki.... kama zimetengenezwa kuna watu wataamia
Muda utasema
 
Iakua alikua anawavimbia wakubwa enzi za mwendazake sasa wanaamua kumshikisha adabu

Na possibly alishawahi kumvimbia hata 'mama mkubwa' mwenyewe enzi za JPM, kama alivyokuwa anamvimbia mama Mghwira mkuu wa mkoa.

-Kaveli-
 
Huyu hakuwa anatumwa...alikuwa tu na backup ya MWENDAZAKE na ndo iliyompa kiburi kufanya yote hayo lkn si kwamba MWENDAZAKE alikuwa anamtuma
 
Back
Top Bottom