Sakata la Sabaya tusilipime kwa yeye kufikishwa Mahakamani

Sabaya kupelekwa mahakamani ni jambo moja, na kitachojiri mahakamani, ni jambo lingine na ambalo ndio la msingi zaidi. Hivyo, tujipe muda badala ya kufurahia kuwa haki imetendeka.

Kumbukeni: Zimwi likujualo, halikuli likakwisha.

Mwisho, tujiulize Sabaya aliyatenda haya bila kuwa na baraka za mtu au watu fulani?Na hao TAKUKURU watakuwa tayari kuwasilisha ushawishi au maelezo yatayohusisha waliokuwa wanamtuma(kama alikuwa anatumwa))?

Na vipi Sabaya akiamua kuweka kila kitu hadharani in case alikuwa anatumika?

Nitakuwa wa mwisho kuamini aliyatenda haya pasipo vyombo vya dola vilivyodhibiti ujambazi kuyajua..

Time will tell.
MPWA SABAYA HATOKI
#TUKUTANEGEREZA LETUPENDWA PALE ARUSHA
 
Kwani kuna ubaya gani bwana iwapo wanajifanya kujishitaki na kisha baadaye wajiachie na kisha wajibe mavyeo ya U - RC nk ?

Let it be so....

Acha wajidanganye tu...

Lakini sisi wengine tunajua jambo moja kuwa, yupo hakimu mmoja asiyehongeka wala kuhadaika na jeuri ya binadamu...

Yeye hutoa hukumu za KWELI na HAKI bila chenga. Huyu ni Mungu Baba yetu - Yehova....
 
KAZI IEIENDELEE
MASIKN

ANAZIKUMBUKA ZILE KVANT/REDLEBEL/BLUELEBEL/BLACKLEBEL HATOZIONA TENA WALLAHI

NAZILEMAMBOZETUUUZAWANDA

Mbona unaweweseka bwashee?!
Tutamtoa_Mkoloni_Mweusi_Soon_(@freedom_fighter_2025)_posted_on_Instagram_•_Jun_4,_2021_at_11:3...jpg
 
Kamguse wewe. Mtu yuko mtaani hana madaraka yoyote mnaogopa nini kumshtaki.

Angekuwa analelewa na wenye madaraka tungelaumu.
Au wewe ndie bashite mwenyewe. Tulia,zamu yako yaja. Kuna gazeti leo limeripoti kuwa jalada la kutekwa Mo limepelekwa kwa DPP. Nadhani umeanza kutafutwa.
 
Au wewe ndie bashite mwenyewe. Tulia,zamu yako yaja. Kuna gazeti leo limeripoti kuwa jalada la kutekwa Mo limepelekwa kwa DPP. Nadhani umeanza kutafutwa.
Una matatizo ya akili. Endelea kusoma magazeti.
 
Sabaya kupelekwa mahakamani ni jambo moja, na kitachojiri mahakamani, ni jambo lingine na ambalo ndio la msingi zaidi. Hivyo, tujipe muda badala ya kufurahia kuwa haki imetendeka.

Kumbukeni: Zimwi likujualo, halikuli likakwisha.

Mwisho, tujiulize Sabaya aliyatenda haya bila kuwa na baraka za mtu au watu fulani?

Na hao TAKUKURU watakuwa tayari kuwasilisha ushawishi au maelezo yatayohusisha waliokuwa wanamtuma (kama alikuwa anatumwa?)

Na vipi Sabaya akiamua kuweka kila kitu hadharani in case alikuwa anatumika?

Nitakuwa wa mwisho kuamini aliyatenda haya pasipo vyombo vya dola vilivyodhibiti ujambazi kuyajua.

Time will tell.
Mashtaka yote karibia hayana dhamana
IMG-20210604-WA0119.jpg
 
Hayo ya mahakama sio jukumu letu.ya kwetu ni hili lakuona angalau hatimaye kumbe sheria za nchi bado zipo.miaka michache nyuma pamoja nakupigiwa kelele za kua na kiongozi imara ila hatukuwai kusikia wala kuona mamlaka za nchi zikichukua hatua wazi wazi kwa viongozi wakubwa waliokua wakihudumu ofisi za umma na kusemwa wana makando kando mengi dhidi ya wananchi.Kwahiyo angalau hii ni hatua nzuri haijalishi matokeo yatakuwaje ila muda utatoa majibu sahihi.
 
FAMILIAYAKEE LEOOOO
iitaelewa kwa Nini JESUS never say bye

alisema atarudi TU akuaga
 
Hayo ya mahakama sio jukumu letu.ya kwetu ni hili lakuona angalau hatimaye kumbe sheria za nchi bado zipo.miaka michache nyuma pamoja nakupigiwa kelele za kua na kiongozi imara ila hatukuwai kusikia wala kuona mamlaka za nchi zikichukua hatua wazi wazi kwa viongozi wakubwa waliokua wakihudumu ofisi za umma na kusemwa wana makando kando mengi dhidi ya wananchi.Kwahiyo angalau hii ni hatua nzuri haijalishi matokeo yatakuwaje ila muda utatoa majibu sahihi.
Hiyo angalau ndio target ili umma uone kuna jambo limefanyika halafu mwisho wa siku anarudi uraiani kuendelea na maisha.

Msije kushangaa DPP anasema hana nia ya kuendelea na hiyo kesi au anamfutia baadhi ya mashitaka na mengine yanamalizwa kwa mtindo wa plea bargain.
 
Mkuu wenzio wa bavicha wanaoshangilia wana vichwa vya panzi,

Kwanza hiyo special treatment anayopewa inaonesha pengine hakuwa hata huko mahabusu. Mbona kina Lema pamoja na kuwa walikuwa wabunge ila walikuwa wanapakiwa kwenye karandinga tena na mitutu juu? Inakuwaje huyu anashuka kwe cruiser tena kiofiser namna hiyo?

Kuwadanganaya wajinga somtimes ni muhimu ili nchi iendelee.
Hapa wewe ndo mjinga mwenyewe sasa.maana kama unawaza tofauti ya kupanda karandinga na cruiser bila kuangalia tofauti ya makosa yao itakua unatatizo lakufikiri.inaonekana unaishi kwa kukariri maisha au umeamua kujifariji baada ya hili kutokea.
 
Kwa mfano hiyo kula wake za watu nayo si inahitaji ushahidi wa wazi?

Hata hiyo ya huduma kisha hakipi utakuta labda anadaiwa si zaidi ya milioni 10 ambazo kwake ni hela ya mboga tu

Sabaya kwenye hii kesi itapigwa dana dana na atawekewa dhamana kisha kesi kwisha.
Vyovyote itakavyokua akitoka uko kwenye hili sakata lake kamwe hawezi kua saabaya yule aliyekua na kiburi na majivuno kwakutumia ofisi na madaraka ya umma.sana sana tutakutana baye instagram akipost picha zisizo na kichwa wala miguu kutafuta huruma za watu.
 
Aliyofanya yana tofauti gani na aliyoyafanya Bashite?Mbona Bashite haguswi?
Libashite lina bahati sana,possibly huenda alikua muovu kuliko sabaya. Ile sub yamapema imemsaidia sana plus mama anamkubali bashite. Huenda lisiguswe labda mpka awamu nyingine
 
Sabaya kupelekwa mahakamani ni jambo moja, na kitachojiri mahakamani, ni jambo lingine na ambalo ndio la msingi zaidi. Hivyo, tujipe muda badala ya kufurahia kuwa haki imetendeka.

Kumbukeni: Zimwi likujualo, halikuli likakwisha.

Mwisho, tujiulize Sabaya aliyatenda haya bila kuwa na baraka za mtu au watu fulani?

Na hao TAKUKURU watakuwa tayari kuwasilisha ushawishi au maelezo yatayohusisha waliokuwa wanamtuma (kama alikuwa anatumwa?)

Na vipi Sabaya akiamua kuweka kila kitu hadharani in case alikuwa anatumika?

Nitakuwa wa mwisho kuamini aliyatenda haya pasipo vyombo vya dola vilivyodhibiti ujambazi kuyajua.

Time will tell.
Usihofu Kamanda, hata Makamu Mwenyekiti amependelea utaratibu huu.
 
Back
Top Bottom