Sakata la Roma Mkatoliki: Waziri Mwakyembe amtolea uvivu Juma Nkamia

Mwaky is an insult to humanity,that is for sure,so why was he so hostile to journalists?
What was he trying to coverup,
and so how did he help the victim if i may ask?

How is showing up at presscon with with Roma consitute as helping him,helping him to do what excatly?
 
Sasa kumekuchaaaaaa.........sasa kumekuchaaa jogoo limekwisha wika Dodoma.


Mwakyembe: Idara ya Habari Maelezo iko ndani ya Wizara yangu, ofisi yangu iko pale, mimi nimefuata mtu au amekuja ofisini kwangu.

Mwakyembe: Roma alivyopotea ndugu zake walikua wananipigia mimi simu na sio Nkamia huyu kijana aliyetekwa ameniomba mimi nimsaidie'

Mwakyembe: Mheshimiwa Nkamia unashangaa mimi kukaa na hawa vijana, unataka ukae naye wewe'
 
Kwanini aliandaliwa ukumbi wa serekare na wakati roma n mtu wa kawaida? Kumbe alifanyia conference kwenye ukumbi wa serekare?
 
Kiukweli ccm imesambaratika , inashikiliwa na kiuzi kidogo sana kinachoitwa madaraka .
 
Naona tuko kijiweni, evolution of cyber world. Kila mtu anaongea anachojisikia, hata akiropoka ni sawa tu.
 
Na kwa kweli huyu Nkamia sijui alikuwa na maana gani kwa kauli zake bungeni juu ya Mwakyembe jana. Hivi ukumbi wa habari maelezo si una free access kwa mtanzania yeyote jamani? Kwa nini sasa iwe nogwa kwa Mwakyembe kwenda pale
Ule Ukumbi ni wa Serikali kinachowashangaza ni Mwakyembe kuandaa press conference ya Roma
 
Mtakoma! Mlimzoea Napeeee mhuni mwenzenu akafanye uhuni wake Barabarani sio ofisi za Uma, km ni wemaaa akambebe kwenye Gari yke siyo yaserikari. Mwakyembe kaza Uzi, hawajui we ni Mwanasheria?? Muhuni mwenzao aliunda tumee ya saa24 ushaona wapi? Bogasy, hafu akaenda kukanyaga matako ya wake za watu.
 
Mtakoma! Mlimzoea Napeeee mhuni mwenzenu akafanye uhuni wake Barabarani sio ofisi za Uma, km ni wemaaa akambebe kwenye Gari yke siyo yaserikari. Mwakyembe kaza Uzi, hawajui we ni Mwanasheria?? Muhuni mwenzao aliunda tumee ya saa24 ushaona wapi? Bogasy, hafu akaenda kukanyaga matako ya wake za watu. Pumbafuuu.
Siku tegemea jibu kama hili kutoka kwa Daktari Mwalimu
 
Mwakyembe: Idara ya Habari Maelezo iko ndani ya Wizara yangu, ofisi yangu iko pale, mimi nimefuata mtu au amekuja ofisini kwangu.

Mwakyembe: Roma alivyopotea ndugu zake walikua wananipigia mimi simu na sio Nkamia huyu kijana aliyetekwa ameniomba mimi nimsaidie'

Mwakyembe: Mheshimiwa Nkamia unashangaa mimi kukaa na hawa vijana, unataka ukae naye wewe'
Naikumbuka kauli hii: Naongea na Mwenye mbwa na siyo mbwa 'Tungo tata kumbe kuna kauli tata pia'
 
Natamani ile wizara ya Mwigulu ingeitwa Mambo ya Ndani na Usalama wa Raia.
 
Back
Top Bottom