Mbunge wa Chemba, Juma Nkamia Amshangaa Mwakyembe kuhudhuria mkutano wa Roma na waandishi

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Nkamia.jpg

Mbunge wa Chemba Juma Nkamia (CCM) amemshangaa Waziri wa Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Mwakyembe kuhudhuria press conference

Binafsi ya Msani Roma Mkatoliki,na kusema kuwa kitendo hicho kinazidisha maswali mengi Juu ya Sakata hilo.

Chanzo:
Mwananchi.
 
Mkuu, Hii Chemba iko bara au visiwani? na Wilaya/ Mkoa gani?
Chemba iko Dodoma; ilimegwa kutoka Kondoa kuunda jimbo jipya (nadhani ni wilaya pia kama sijakosea). Ndiko hasa asili ya kabila la Warangi; asilimia kubwa weupe kama Waarabu. Pia zaidi ya 75% ya ubuyu unaouzwa masokoni hapa nchini unatoka Kondoa na Chemba.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
PhD mkurupuko alikuwa pale kwa ajili ya kumpa shinikizo Roma asijaribu kusema ukweli, hakuna cha maana kingine alifuata pale
 
Mheshimiwa sana, Mwakyembe na Bashite........hii combination kwa kupenda front page sio mchezo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Acha vyuma visuguane.Cheche zikiruka zichome wote.Naona mwanga uleeeee..Kiza kinatokomea
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom