Sakata la Roma Mkatoliki: Waziri Mwakyembe amtolea uvivu Juma Nkamia

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Mwakyembe: Idara ya Habari Maelezo iko ndani ya Wizara yangu, ofisi yangu iko pale, mimi nimefuata mtu au amekuja ofisini kwangu.

Mwakyembe: Roma alivyopotea ndugu zake walikuwa wananipigia mimi simu na sio Nkamia. Huyu kijana aliyetekwa ameniomba mimi nimsaidie.

Mwakyembe: Mheshimiwa Nkamia unashangaa mimi kukaa na hawa vijana, unataka ukae naye wewe?

Mwakyembe: Idara ya Habari Maelezo iko ndani ya Wizara yangu, ofisi yangu iko pale, mimi nimefuata mtu au amekuja ofisini kwangu.

Mwakyembe: Roma alivyopotea ndugu zake walikua wananipigia mimi simu na sio Nkamia huyu kijana aliyetekwa ameniomba mimi nimsaidie'

Mwakyembe: Mheshimiwa Nkamia unashangaa mimi kukaa na hawa vijana, unataka ukae naye wewe'

Bomu limegusa kichwa
 
Kweli kaka haka ka bwana mdogo kanataka kuota mapembe, ungekachapa makofi tu, hapa ndio namkumbua mzee tyson.
 
Mwakyembe: Idara ya Habari Maelezo iko ndani ya Wizara yangu, ofisi yangu iko pale, mimi nimefuata mtu au amekuja ofisini kwangu.

Mwakyembe: Roma alivyopotea ndugu zake walikua wananipigia mimi simu na sio Nkamia huyu kijana aliyetekwa ameniomba mimi nimsaidie'

Mwakyembe: Mheshimiwa Nkamia unashangaa mimi kukaa na hawa vijana, unataka ukae naye wewe'

Na kwa kweli huyu Nkamia sijui alikuwa na maana gani kwa kauli zake bungeni juu ya Mwakyembe jana. Hivi ukumbi wa habari maelezo si una free access kwa mtanzania yeyote jamani? Kwa nini sasa iwe nogwa kwa Mwakyembe kwenda pale
 
Back
Top Bottom