Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

Lissu anatufungua macho kumbe mtuhumiwa anayo haki ya kukataa kutoa maelezo yeyeto polisi hadi kufikishwa makamani. Marekani has Miranda law
You have the right to remain silent. Anything you say can and will be used against you in a court of law. You have the right to an attorney. If you cannot afford an attorney, one will be provided for you.
VIVA LISSU
 
Umaarufu kupitia wapi labda akatoe ushauri wa kisheria segerea na ukonga. Hiyo imetoka ukirudi ina pancha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kama kumshughulikia Lissu tofauti na sheria ni sawa kwa vile hamumpendi, sasa kuna tofauti gani na wale Wa Mkiru waliokuwa wanawaua polisi na ccm kwa vile hawawapendi kuna tofauti gani?
 
UZALENDO SIO KUMTUKUZA NA KUMSIFIA RAIS ALIYEKO MADARAKANI KWA KILA JAMBO ANALOFANYA NA KUSAME, BALI NI KUILINDA NA KUIPENDA NCHI YAKO KWA NGUVU ZAKO ZOTE, NA PIA KUITETEA KATIBA YA NCHI YAKO KWA HALI NA MALI NA KUPAMBANA NA YEYETO YULE ANAYEICHEZEA NA UJARIBU KUIVUNJA KATIBA HIYO.
 
wakimakata Lissu ndiyo Bombadier itaachiwa huko Canada.
Tusubiri huo mkutano ulio sirini umalizike acacia barrick wataeleza kweli tupu wakirudi kwao Lissu ulimwengu utamtambua ni jasiri na serikali yetu ileee ile SIRIKALI ILE itatafuta pa kuficha uso wake.
 
Mbona vijana wako tayari! Jisemee wewe , usisemee nafsi za wengine.
Na wewe usiwasemee vijana, jisemee mwenyewe, ndio maana nasema KILA MTU ATABEBA MSALABA WAKE MWENYEWE kama ilivyo sasa kwa Mhe. Lissu. Nobody accompanied him to Central Police!
 
umbea tuu huu wako...
Wala hakuna haja ya kuja mtu mbadilishane...Nauli ndogo tuu nenda kaishi somalia uombe uraia...Utaikumbuka Tanzania siku moja tuu....Fala kama wewe hujui thamani ya amani...




Hii nchi nimeshaichoka jamani ajitokeze hata msomali tubadilishane.
 
Back
Top Bottom