Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

Kwanini Serikali, kupitia kwa Waziri wa Ujenzi wa wakati huo, John Magufuli ilivunja mkataba wa Kampuni ya Stirling Civil Engeering Ltd? Kitendo ambacho kimesababisha nchi yetu kuingizwa hasara kwa kudaiwa mabilioni ya shilingi.
36352ef05fe150b8a483f4bfd6e32fb3.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo hampendagi kusumbua vichwa vyenu ndiyo maana mnawashangilia vichaa. Angalia hapo ili ujje nani alikuwa waziri wa ujenzi wakati huo. Siyo Rais wa wakati huu ni uongo wa mchana kweupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mpima mkojo anata asifiwe yeye ndo uzalendo lkn wengine wasisifiwe lkn cku hz amekuwa kimya sana sijajua sijui hakuna vitu vya kuzindua. Tundu lissu kumnyamazisha ni kumpa Ujaji mkuuu tuuuuu
 
Noah zije Wakati mnawasaidia wazungu kuhujumu nchi! Hizo hela zingafanya mambo mengi sana.
Elimu ...elimu ...elimu! Ni nani anawasidia wazungu hapa!? Kama hujaelewa hili swali hadi sasa basi kutoishi kwako ni bora kuliko kuishi kwako. Kibaya zaidi kwa nchi hii mko wengi wenye fikra kama zako!
 
unavyoandika tuu sio kazi kujua we sio mutanzania,, na ujue kabisa kuingilia domestic affairs za nchi ambayo ina mamlaka kamili ya kujiamulia mambo yake ni kosa na unajua kabisa nini kinaweza kukupata.. kazi kwako
unachekesha sana wewe ni mtanzania kwa jinsi munavyoendesha nchi kama gari bovu cha kunipata kitashangaza kama munauwa watu na kuwafunga kwenye visandarasi ili mradi mubaki madarakani nakuabudiwa kama Mungu huku mukijuwa mutakufa nakuliwa na funza kama wengine cha ajabu ni nini
 
Swali la kawaida; Hivi kule kupekua na kupima mikojo kunasaidia kulipa madeni na kuzima manung'uniko na kelele?
 
Back
Top Bottom