Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

Namshukuru Mungu sasa Hata Serikali Inamlinda Lissu Bila Kupenda Maana ndio Imeonekana Inamuwinda
Na Wananchi Wanamuangalia Lissu
Sasa Kasheshe Akichomwa na Mwiba Kidogo Mie simo Jamani
Naangalia Video youtube namna ya kutumia AkFotiSeventeiini:D:D:D
 
Ha ha ha hata huwezi kujibu hata hoja moja ni pruuuuu paraaaaaa. Lisu kawashika mkubali badala ya kumchukia mpendeni nyie wapenzi wa Mungu mpendao ukweli.Otherwise come foward and prove him wrong.

Yes, and we will very very soon.
 
Uchochezi kuhusu kuzuiliwa na kushikiliwa kwa ndege ya serikali ya bombardier
Kwa hiyo wapinzani hawana haki yakuchunguza (scrutinise) serikali wakifanya hivyo ni wachochezi? Basi kama ni hivyo wapinzani wote wa serikali zote za kidemokrasia duniani wangekuwa wana-maelfu ya ma-kesi mahakamani. Sijui CCM ya awamu hii ya 5 inajua definition ya upinzani na kazi zake?? ''The role of the Official Opposition is to question and scrutinise the work of the Government'' Hansard, ''The Opposition’s main role is to question the government of the day and hold them accountable to the public.'' Katiba ya nchi pia inampa mpinzani haki ya kuhoji shughuli za serikali na kuweka uwazi. Kwa nini serikali mpaka leo kama inapinga tuhuma za Mh. Lissu isitoe maelezo yenye hoja? Inachofanya ni kuendelea kulaumu bila kueleza maelezo kamili kwa upande wake. Huyu Mh. Lissu ni mbunge na pia ni Rais wa TLS nyadhifa zote mbili zinampa haki ya ku-scrutinise serikali. Huu pia anaofanya ni uzalendo mkubwa wa kuhakikisha serikali inawajibika kwa wananchi wake na kufanya kazi kwa misingi ya sheria. Uzalendo siyo kukaa kimya na kupiga makofi tu kwa kila kitu kinachofanywa na serikali. Uzalendo ni kushangilia mazuri yanayofanyika na kukemea mabaya pia.
 
KUTAFUTA MCHAWI NI KUTOWAJIBIKA KWA MAAMUZI YA SERIKALI YENYEWE | Gazeti la Rai

Suala la ndege yetu kuzuiwa Canada lisifanywe ni suala la ushabiki kama ushabiki wa mpira. Ni suala la nchi hili na mjadala wake uwe na hadhi hiyo.

Kitendo cha Msemaji wa Serikali kulaumu wanasiasa kwa jambo la kisheria kama hili ni utoto. Hakuna mwanasiasa anayeweza kushirikiana na kampuni za kigeni kuhujumu nchi. Mimi binafsi filosofia yangu ni rahisi sana ‘ My Country, Right or Wrong ‘. Maneno yanayosambazwa kuwa nimeshiriki kuwezesha ndege ya Bombardier iliyonunuliwa na Serikali kwa niaba ya ATCL kukamatwa huko Canada ni takataka tu zinazosambazwa na wapika propaganda.

Serikali lazima ifahamu kuwa ni lazima ihojiwe na iwe tayari kutoa majibu. Sisi kama vyama vilivyo nje ya Serikali ni wajibu wetu kuhoji jambo lolote.....
 
Ni haki aliyopewa na katiba,kwanini msianze kwa kubadili katiba?

Hiyo haki pia ina mipaka yake....Tuna uhuru wa kuongea ila si kuwa umeruhusiwa uongee hadi maneno yanayo leta taswira mbaya katika jamii...

Ni sawa na kuwa katika dini umeruhusiwa kula lakini sio ule hadi upitilize au ule vitu visivyofaa kula.........Umeruhusiwa kutumia dawa ila ukizidisha dawa ni sumu...

Kila kitu unatakiwa ufanye lakini ufanye kwa kiasi..

Tundu Lisu anaongea hadi anapitiliza, kama mwanamke wakizaramo !! Anatakiwa awe na mipaka ya kuongea, kwani wenzie wote wa upinzani wanaonyamaza wanaongea vitu vya maana mbona hawasumbuliwi ??

Liwe zuri yeye anabwawaja baya, liwe baya yeye anabwawaja baya...hana la heri yeye...Huo mdomo wake anautumia vibaya na sauti yake sasa...KIKI TUU ANAPENDA HUYU
 
Nasubiri siku mahakama imtie hatiani!Ndio maana mnapigwa chini kila siku mahakamani na pesa za bondi zinarudi!
Kwa akili hizi ndio unaenda mahakamani kutoa utetezi wa namna hii,utapigwa maswali mpaka kope zitoe jasho!!!!!!
 
84 Reactions
Reply
Back
Top Bottom