Sakata la Mtoto aliyelawitiwa Nyakato - Mwanza, RC Mtanda asema kesi imefikishwa Mahakamani na Mtuhumiwa kapelekwa Gerezani

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda leo jumatatu Agosti 18, 2025 amelitolea ufafanuzi suala la Mtoto Mkazi wa Nyakato Wilayani Ilemela aliyesemekana kulawitiwa na Mtuhumiwa Steven Ibasa (Baba Claudia) tarehe 14 Agosti 2025.

Mtanda akiwa ofisini kwake ametoa mwenendo wa kesi hiyo ambapo kwa sasa limefika mahakamani na kuwataka wananchi kuwa na imani na Muhimili wa Maahakama kwakuwa utakwenda kutenda haki.

WhatsApp Image 2025-08-19 at 10.03.38_569d86d8.jpg

WhatsApp Image 2025-08-19 at 10.03.39_37faa47d.jpg

WhatsApp Image 2025-08-19 at 10.03.38_824fa5e0.jpg

Credit Video: Global TV Online

Pia soma:
~
Kiongozi gani wa juu Kituo cha Polisi Kirumba anazuia tuhuma hizi za ulawiti kwa mtoto huyu wa Nyakato - Mwanza?
~ RC Mtanda atoa maelekezo kwa Mdau aliyedai kuna Kiongozi anamlinda mtuhumiwa wa Ulawiti kwa Mtoto
 
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda leo jumatatu Agosti 18, 2025 amelitolea ufafanuzi suala la Mtoto Mkazi wa Nyakato Wilayani Ilemela aliyesemekana kulawitiwa na Mtuhumiwa Steven Ibasa (Baba Claudia) tarehe 14 Agosti 2025.

Mtanda akiwa ofisini kwake ametoa mwenendo wa kesi hiyo ambapo kwa sasa limefika mahakamani na kuwataka wananchi kuwa na imani na Muhimili wa Maahakama kwakuwa utakwenda kutenda haki.

Pia soma:
~
Kiongozi gani wa juu Kituo cha Polisi Kirumba anazuia tuhuma hizi za ulawiti kwa mtoto huyu wa Nyakato - Mwanza?
~ RC Mtanda atoa maelekezo kwa Mdau aliyedai kuna Kiongozi anamlinda mtuhumiwa wa Ulawiti kwa Mtoto
huyu ameona maji yamemfika shingoni ndo anaamua kuita press ili ajisafishe
 
Wenye mamlaka mpaka watiwe jambajamba ndo wanatekeleza ama lah hilo tukio liwe na manufaa kwao kisiasa.
 
Mtu yoyote anaemlawiti Mtoto WA kiume hatakiwi kupelekwa kwenye Sheria...Anatakiwa ajute sana.
 
Ila wa kike ni halali kulawitiwa? Lol
Hapana sio halali...watoto wote wanapaswa kulindwa na kupendwa,,,ila mwanaume anaejua kwamba yeye ndie anaemfanya mwanaume mmoja kamili kuwa shoga WA kudumu huyu Anatakiwa afanyiwe ukatili ule wazungu wanaita "cold blood treatment'' Anatakiwa afe na maumivu yasioelezeka.
 
Back
Top Bottom