haji amani mboriko
Member
- Dec 25, 2016
- 8
- 3
Huu sio muda wa malumbano mkuu kajitoa mhanga kupata pakuanzia.Tutafute ,tumsaidie tuweze faidika na rasilimali za nchi. Sio wakati wa kutafuta mchawi.Tukianza tafuta mchawi waliokua mawaziri,wanasheria na wabunge wote tangu mwaka 1998 hawachomoi ni mtazamo tu