Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,470
Ukweli unachoma eeh?Hatimaye sasa utaanza kufurahi na kulala usingizi, baada ya kukesha wiki nzima ukiwatetea mabwana zako.
Ukweli unachoma eeh?Hatimaye sasa utaanza kufurahi na kulala usingizi, baada ya kukesha wiki nzima ukiwatetea mabwana zako.
[quote uid=301985 name="Donald Lema" post=21333890]Taifa lenye watu wajing a kupindukia, kwani kesi ikifunguliwa ndio nini, inaonekana umefarijika mno moyoni, hili ni Taifa letu tunalo jivunia. Lisu ni Mtanzania, vita hii inamhusu yeye, Mimi, na tuipendao nchi yetu.[/QUOTE]<br />Msituingize kwenye wizi wenu.hili ni tatizo la CCM. Kila mtu aubebe msalaba wake wakati mnapiga meza kama mbweha bungeni mliwaona wapinzani wajinga.Unaona raha kushangilia upuuzi utafikiri wewe utafaidika na hiyo kesi huku dada zako na mama na baba yako anateseka bila dawa kwa wizi wa hao unaowashangilia jaribu kuwa mzalendo kidogo mwehu wewe
Bahati mbaya mikataba tanzania iliyoridhia na hawa mabwana wa ACACIA inahusisha sheria ile ya mwanzo iliyotungwa na akina Mkapa na JK katika kuamua ama kutoa maamuzi ya kesi itakayofunguliwa. Kesi haiwezi kuamuliwa na sheria iliyotungwa baada ya kosa kutendeka. Hako tu kaelimu kadogo ukajue mdogo wangu. Hivyo hakuna msaada wa dharula unaoweza saidia hapo Mkuu.Kama wanaenda Mahakamani na sisi tupeleke Mswada Bungeni fasta kwa hati ya dharura kubadili hizo sheria kandamizi. Kama mbwai ni mbwai.
.......Hivi hawa wanasheria wa serikali wataweza hiyo kesi maana Lissu tu anawashinda
Tulipishwe fidia tuu hata ya kiwango cha juu lakini ukweli ubaki pale pale mh. Dr. JPM kajitahidi kuthamini mali asili zeyltu. Wapinzani tushangilie lakini tukumbuke tuna vizazi vitakavyodumu mbaaaaaali sana baada ya sisi. Tutumie gharama kubwa kuivunja hii mikataba ili vizazi vyetu vipate kinachositahili.Hatari sana hii..! Tusije lipishwa fidia hapa
Huyo unae mjua.Lisu! Lisu yupi?
Wale wapo ndani ya mkataba so ukivunja mkataba unatakiwa ulipe fidia fastaKama wanaenda Mahakamani na sisi tupeleke Mswada Bungeni fasta kwa hati ya dharura kubadili hizo sheria kandamizi. Kama mbwai ni mbwai.
Nimrkuelewa mkuu, hofu ni pale atakapotumiwa hafu waka ahidi mpunga mlefu kwenye chama chake mkuuSasa hapa serikali iweke uchama pembeni. Since wamepeleka kesi mahakaman.. basi wamtumie lissu vizur kwenye hili
Kaka una point. Wakegeukia kwa lissu hadhi itaporomoka. Lakin pia unaanzaje ku deal na walio sign maana na marais wastaaf wamo?Huyo lissu aliwahi kusema hivi "kama ningesikilizwa tangu awali kuhusu mikataba yenye maslahi mapana kwa taifa kupitisha kwa hati za dharula tusingefikia hapa tulipofikia hivi sasa."
Iweje baada ya wabunge walio wengi kujitoa fahamu na kupitisha mambo ndiyo yanatugharimu sasa hivi ndiyo mnamuona wa maana.
Cha msingi, walioandaa mikataba hiyo na waliosaini ndiyo tuanze kushughulika nao kwanza.
Wakati mnagonga meza bungeni hamkulijua hili?? Jpm kajaribu hata akishindwa kwa hili machozi ya wa tz mtayabeba ccm. Mkapa na kikwete kwa hili mimi sitowasameheHivi hasa ni nini cha kufurahia katika hili?...nchi yetu wenyewe .tumeibiwa sisi...halafu tunapelekwa mahakamani sisi...ni haki kweli?
Kwa kutumia hii tume ya mihemko? Mnapokea ripoti kwa mbwembwe hadi wasanii. Mukule wenyewe tu. Kama uzalendo ni kutokuheshimu taratibu, sheria na mikataba, basi mie mnitoe kwenye uzalendo huo.
Pole sana kwani Acaccia ni mali ya wapinzani?Hizi ndio habari za kushangiliwa na upinzani.