Pota
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 2,031
- 760
ngoja tusubiri part ii, ambayo main character ni mzee wa misiba na rambirambiFujo ni kali kwelikweli mkuu!
ngoja tusubiri part ii, ambayo main character ni mzee wa misiba na rambirambiFujo ni kali kwelikweli mkuu!
Hizo fujo hazibagui baadhi ya watu na kulenga kikundi, chama au maeneo ya serikali tu?
Fujo ni kali kwelikweli mkuu!
Wananchi wengi wanaandamana kwa kigezo cha kutolipwa madai yao ya korosho..
Baadhi wanatarget wafanyakazi wa serikali,ofisi,na wote wa aina hiyo.. Sema si unajua , msafara wa mamba na....
Lkini kwa bahati mbaya CUF haijajiandaa kutumia vizuri hii fursa ya kisasa iliyopo!
tunashukuru sana ,endelea kutupa news zaidi wana jf.Nachelea risasi za moto kutumika maana waandamanaji hao sasa wanaelekea Kituo cha Polisi cha Wilaya..
Mwenyezi mungu akuepushe na madhara, wasiuguse mwili wako kwa ubaya wa aina yoyote. awape suluhisho la kudumu (kibinadamu suluhisho la kudumu ni kuiua ccm)
tunashukuru sana ,endelea kutupa news zaidi wana jf.
Lkini kwa bahati mbaya CUF haijajiandaa kutumia vizuri hii fursa ya kisasa iliyopo!
Gamba mpaka litoke huko. C wanaling'ang'ania
Wacha wachome nami nawaunga mkono 100%