Sakata la malipo ya korosho sehemu ya pili, Tandahimba kimenuka..!

Kule mbeya Mr. Sugu Mbunge aliyechaguliwa na watu alienda kuwaomba wapigakura wake watulie kufuatia vurugu za maana dhidi ya serikali nao wakatulia, Unadhani mbunge wa huko akija wapigakura wake wataheshimu uwepo wake?

Mh...

Sidhani.. Sauti yake haisikilizwa nafikiri.. Sanasana hawa jamaa wenye hasira watampopoa kwa mawe.
 
jamani nafikir sasa inabidi jani la mgomba wajiulize wataishi kwa maandamano na ugomvi hadi lini? hebu watuachie sisi wa cdm tujaribu japo kwa wiki tu tuone hali halisi itakwendaje,
 
Habari njemama hiyo kwa CDM, kwani ingekuwa Mbeya, Mwanza au Arusha wangesema hao ni wahuni wa CDM, sasa tutsema je? labda hao ni wahuni wa CCM na mwenza wake cuf.
Vyovyote vile kusini wanahitaji upako toka kwa Lema

Huku CUF ndiyo chama chao mkuu.. Kidoogo na CCM:.
 
JK mbona shemeji yao hajawasaidia, halafu vipi CUF, mnawaangusha wenzi wenu CCM, ndoa yenu vipi haikuwa na mashiko?
kwa wananchi, haki haiombwi inadaiwi kazeni kamba mpate chenu
 
Nadhani wewe ndiye unatumika vibaya! Hiyo 20% kwa nini icheleweshwe kama siyo ufisadi!

Nikweli kwenye hansard imeingia lakini ungepata kupata mlinganisho wa maelezo kutoka upande mwingine.wananchi wanalalmika siyo asiliam 20% wanadai pesa nyingi zaidi ya hizo.Hivyo hata kama ingekuwa asilimia 1% kuchelwesha haki ya mtu ni sawa na kumnyima haki hiyo.Lakini mbona shughuli zingine za serikali hazisimami?kwa nn haki ya wakulima icheleweshwe?Hat hivyo ahadi kama hizo waziri mkuu alizitoa ludewa na songea lakini mpka sasa kuna wakulima hawajalipwa na mahindi hayajanunuliwa.hivyo si sahihi sana kuamini kauli ya ccm hasa waziri mkuu.Na pia kuna wasitaafu wa EAC mbona mpak leo hawajalipwa
 
Hali ngumu tandahimba! Polisi wazidiwa nguvu, ofisi ya tanecu, ocd zaharibiwa vibaya!
 
Mh...

Sidhani.. Sauti yake haisikilizwa nafikiri.. Sanasana hawa jamaa wenye hasira watampopoa kwa mawe.

pengine mkuu wa wilaya au mkoa wanajitihada za kuwapigia magoti waandamanaji ili kuepusha hasara inayoweza kusababishwa na uchomaji wa nguzo za umeme! na kuepuka pia matumizi ya msuli dhidi ya wenye nchi, au pengine hawasomeki kujua ni nani mwenye nchi.
 
Huku CUF ndiyo chama chao mkuu.. Kidoogo na CCM:.

ccm inakubalika baada cuf, je ni kutokana na kujitangaza huko mapema zaidi ya vyama vingine kama tlp, nccr, chadem n.k , ukiondoa sera kuna lolote kama mila, taratibu au mienendo ambayo cuf wameifuata na kukonga nyoyo za wakazi wa huko?
 
Kikwete kikwete kikwete hata pesa za wakulima wa korosho jamani unashindwa kuwalipa mbona dowans na wengineo tena wasio stahili unawalipa hawa waliovuja jasho la haki unawadhulumu,kumbe mlianzisha utaratibu wa stakabadhi ghalani ili muwadhulumu wakulima,Kilio chao kimemfikia manani subiri adhabu yako,

Nyie Wananchi wa Kusini vip!!!!!!!!!!!!

Kwani lazima kuwalipa pesa za Korosho. "Si mlitukopesa wenyewe bwana!!!!! Yiiiii Kwani tuliwalasimisa mtukopese!!!!!!! Si kiele ele chenu bwana.

Na nyie chukueni hiso karatasi mwende Dukani mkanunue unga kwa kutumia stakabasi ghalani.

CHANGA LA MACHO HILOOOOOOOOOOOOOOO!!!

Na sasa ivi laisi wetu amekwenda kutoa pole ya Milioni 10 kama rambirambi msiba wa Kanumba eti nyie mnaandamana.

IGP mwema anakuja sasa hivi na mabomu kama kawa!!!!

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Niko pamoja na utaraibu mzima wa kudai haki ya msingi lkn Siungi mkono utaratibu wa kuharibu miundo mbinu na uporaji wa mali kwa wananchi wenzao kwasababu mwisho wa siku hiyo miundo mbinu wanayoiharibu itakua na hitaji la msingi kwao wote pasipo kujali Chama wala nafac ya mtu"
 
Hujui maana ya ghadhabu wewe!
 
Huu ndiyo mwisho wa kufikiria wa Kikwete na Pinda, kwamba watu wakiandamana kudai haki yao suluhisho ni mabomu ya machozi na risasi za polisi. Lakini na hao wananchi wana sababu gani ya kuwapora wenzao? Mgomvi wao ni serikali au wavuja jasho wenzao? Waandamanaji nao ni wendawazimu kama ndiyo hivyo!

wendawazimu kwelikweli. moja ya sababu za polisi kuwa na kawaida ya kukataa maandamano, ni baadhi ya wanaojivika waandamanaji kujiingiza katika unyang'anyi. wengi watapenda kujipitisha karibu na maduka yenye mali rahisi za kubebeka na kubomoa na kuzibeba
 
Nyie Wananchi wa Kusini vip!!!!!!!!!!!!

Kwani lazima kuwalipa pesa za Korosho. "Si mlitukopesa wenyewe bwana!!!!! Yiiiii Kwani tuliwalasimisa mtukopese!!!!!!! Si kiele ele chenu bwana.

Na nyie chukueni hiso karatasi mwende Dukani mkanunue unga kwa kutumia stakabasi ghalani.

CHANGA LA MACHO HILOOOOOOOOOOOOOOO!!!

Na sasa ivi laisi wetu amekwenda kutoa pole ya Milioni 10 kama rambirambi msiba wa Kanumba eti nyie mnaandamana.

IGP mwema anakuja sasa hivi na mabomu kama kawa!!!!

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!

Hii kitu ya stakabadhi ghalani si iliungurumishwa bungeni kabla kusainiwa pale karibu kwenye moshi wa samaki! chanikiwiti kwani kusemaje ba!
 
pengine mkuu wa wilaya au mkoa wanajitihada za kuwapigia magoti waandamanaji ili kuepusha hasara inayoweza kusababishwa na uchomaji wa nguzo za umeme! na kuepuka pia matumizi ya msuli dhidi ya wenye nchi, au pengine hawasomeki kujua ni nani mwenye nchi.

Mh... Hawawezi kumsikiliza mtu kabisa hawa!
 
ccm inakubalika baada cuf, je ni kutokana na kujitangaza huko mapema zaidi ya vyama vingine kama tlp, nccr, chadem n.k , ukiondoa sera kuna lolote kama mila, taratibu au mienendo ambayo cuf wameifuata na kukonga nyoyo za wakazi wa huko?

Basi tu watu wa huku wamekichoka chama tawala.. Na nadhani ni kawaida kwa CDM kuacha majimbo yenye nguvu kwa chama pinzani..
Hata wakisimamisha mgombea,hawampi sapoti kubwa ya kampeni..
 
Niko pamoja na utaraibu mzima wa kudai haki ya msingi lkn Siungi mkono utaratibu wa kuharibu miundo mbinu na uporaji wa mali kwa wananchi wenzao kwasababu mwisho wa siku hiyo miundo mbinu wanayoiharibu itakua na hitaji la msingi kwao wote pasipo kujali Chama wala nafac ya mtu"

Mambo si mambo kabisa.. Nadhani ni yale ya msafara wa mamba na ......
 
Chadema tuna kuja huko kuwaamsha na kuonyesha njia ya kupata haki yenu.Hawa magamba bila kuwaketea mtiti wa maandamano hawaeleweki kamwe.HAKI INAPIGANIWA HAIOMBWI
 
Back
Top Bottom