Sakata la Makinikia:Kamati zinadanganya kwa maslahi ya nani?

mkuu, miaka 8-10 ijayo mtakapokuwa kama Zimbabwe mtaanza kutafuta kuchinja vichwa vya hawa maprofesa (ambao ni messengers tu masikini) badala ya mhalifu halisi!
Sitetei chama wala nani nmepingana na huyu ndugu yangu kwa data alizoziweka na heading yake ilivyokaa otherwise abadili heading na baadhi ya data
 
Tulishafunga huo ukurasa, tunasubili majadiliano namna ya kulipa fweza zetu, nyinyi endeleeni kuweweseka na hizo hoja zenu za kuparura majalalani:D
19051822_140736376487794_8570466458729971712_n.jpg
 
Hamjambo wanaJF
Niende kwenye hoja

Madini yenye mgogoro ni haya makinikia ya mchanga unaosafilishwa nje ya nchi na mgodi wa ACACIA ambapo kwa mujibu wa tume zilizoundwa na rais wametuambia kuwa mchanga huu wa makinikia una asilimia 5 ya madini na hizi asilimia 5% za madini tumepoteza trion 108 kwa miaka 18.

Kwamba migodi mingine kama ya Geita na maeneo mengine hayajabuguziwa kwa sababu dhahabu inasafishiwa mgodini hapahapa nchini na haidaiwi.

Kwa tafsiri ya haraka ni kwamba hii asilimia 95% ya dhahabu inayosafishiwa mgodini ACACIA hapahapa nchini haidaiwi na serikali,Yani imelipa kodi ndio maana haipigiwi kelele ...Sasa tupige hesabu hii asilimia 95% inayosafishiwa nchini hapahapa serikali inaiingiza shilingi ngapi kupitia dhahabu hii?

Kama mchanga wa makinikia unaosafilishwa nje ya nchi una asilimia 5% ya madini tu lakini tumepoteza trion 108 kwa miaka 18,Je hiyo aslimia 95% iliyosafishiwa hapahapa nchini serikali imeingiza shilingi ngapi kwa miaka 18?

Asilimi 5% kwa miaka 18 = trion 108
Asilimia 95% kwa miaka 18 = trion 2052 Yani serikali kwa miaka 18 imeingiza trion elfu mbili na hamsini na mbili kwa madini yanayosafishiwa mgodini kwa mgodi mmoja wa ACACIA.Pesa hizi anazo MUNGU tu hata marekani na utajiri mkubwa walionao hawajawahi kumiliki pesa hii .Swali la kujiuliza kama mlikuwa mnaingiza pesa zote hizo hili deni la taifa lilikuwa linaongezekaje?Kwa nini miradi ilikwama kwa kukosa fedha wakati mnaingiza fedha zote hizi?okay sio kesi hebu katika hizo trion 2052 lipeni deni la taifa trion 50 basi.

Trion 2052 ni sawa na bajeti ya tanzania miaka 51 kama bajeti itatengwa trion 40 kila mwaka.Yani miaka 51 tunatumia pesa za madini tu bila kulipa kodi za majengo,magari,maduka na kila kitu na maendeleo yanasonga.
Kazi ipo
 
Mimi siwaelewi kwa nini mnabeza juhudi zote zilizofanywa na Rais! Kwa hiyo mntaka kutuaminisha kuwa wazungu hawakutuibia?
 
Ni ubinafsi tu na kukosa picha kubwa katika masuala ya maendeleo; kwamba iwapo hawakufanya wao (ingawa kwa uchu wa mali wa viongozi wao hawawezi kufanikiwa kufanya kama serikali inavyofanya sasa) basi na shughuli nzima ikafie mbali. Hiyo ndio falsafa ya hawa jamaa zetu kwenye uongozi wa kisiasa.
 
We bwana weee ushachagua Noah yako? Mi nimechagua nyeusi!!
 
fanya kazi wewe Nyumbu upate pesa, achana na makinikia, hii vita tuachie sisi wenyewe, ninyi waungeni mkono tu ACACIA, hata tukishindwa hii vita sawa tu, cha msingi silaha zote Tutatumia.
OK, tumewaachia sababu ile siku mlipopitisha sheria ya madini si mlishangilia
 
Attachments

  • VID-20170617-WA0006.mp4
    414.4 KB · Views: 26
Mfumo wetu wa elimu una matatizo makubwa sana.

Nnadiriki kusema siuamini hata chembe usomi wa waliondaa zile ripoti kama ni wa viwango.

Nnajuhakikishia ukizichunguza kwa makini hizo ripoti utakuta asilimia kubwa ni kopi na pesti na kuweka mahesabu kwenye Excel jibu linalotoka hata kama haliingii akilini ndiyo hilo hilo mradi Excel imefanya calculation.

Acacia hawana cha kulipa, sana sana tutakuja kuwaomba msamaha watusamehe wasitudai kwa kuwapotezea muda, faida na kuharibu jina lao.

Mtayakumbuka haya. Nilisema kama haya kwa Dowans na ndivyo ilivyokuwa.

Mara nyingi humu huwa nnautoa mfano wa msomi Nyerere na Tiny Rowlands lakini wengi hawanielewi.
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe katika hili umeona mbali hongera sana
 
Ni ubinafsi tu na kukosa picha kubwa katika masuala ya maendeleo; kwamba iwapo hawakufanya wao (ingawa kwa uchu wa mali wa viongozi wao hawawezi kufanikiwa kufanya kama serikali inavyofanya sasa) basi na shughuli nzima ikafie mbali. Hiyo ndio falsafa ya hawa jamaa zetu kwenye uongozi wa kisiasa.
Ina maana ni kweli siasa si hasa.
 
Kuongoza Watanzania ni rahisi sana na siku zote nasema huwa tunadanganyiwa kwenye kusoma. Watanzania ni wavivu wa kusoma. Na hii ndo sehemu watawala hutumia kutudanganya.

Yaani watu uwezo wa ku kutafakari umegota
 
Mfumo wetu wa elimu una matatizo makubwa sana.

Nnadiriki kusema siuamini hata chembe usomi wa waliondaa zile ripoti kama ni wa viwango.

Nnajuhakikishia ukizichunguza kwa makini hizo ripoti utakuta asilimia kubwa ni kopi na pesti na kuweka mahesabu kwenye Excel jibu linalotoka hata kama haliingii akilini ndiyo hilo hilo mradi Excel imefanya calculation.

Acacia hawana cha kulipa, sana sana tutakuja kuwaomba msamaha watusamehe wasitudai kwa kuwapotezea muda, faida na kuharibu jina lao.

Mtayakumbuka haya. Nilisema kama haya kwa Dowans na ndivyo ilivyokuwa.

Mara nyingi humu huwa nnautoa mfano wa msomi Nyerere na Tiny Rowlands lakini wengi hawanielewi.

Fact kabisa
 
Kamati imempa magufuri ripoti aloyoitaka. Maprofesa wamecheza na akili ya mkulu.
 
Mfumo wetu wa elimu una matatizo makubwa sana.

Nnadiriki kusema siuamini hata chembe usomi wa waliondaa zile ripoti kama ni wa viwango.

Nnajuhakikishia ukizichunguza kwa makini hizo ripoti utakuta asilimia kubwa ni kopi na pesti na kuweka mahesabu kwenye Excel jibu linalotoka hata kama haliingii akilini ndiyo hilo hilo mradi Excel imefanya calculation.

Acacia hawana cha kulipa, sana sana tutakuja kuwaomba msamaha watusamehe wasitudai kwa kuwapotezea muda, faida na kuharibu jina lao.

Mtayakumbuka haya. Nilisema kama haya kwa Dowans na ndivyo ilivyokuwa.

Mara nyingi humu huwa nnautoa mfano wa msomi Nyerere na Tiny Rowlands lakini wengi hawanielewi.
Mh fact tupu. Ila sasa jiandae kuambiwa wewe sio Mzalendo. Ila wale walio tufikisha hapa wao ni wazalendo.
 
Hamjambo wanaJF
Niende kwenye hoja

Madini yenye mgogoro ni haya makinikia ya mchanga unaosafilishwa nje ya nchi na mgodi wa ACACIA ambapo kwa mujibu wa tume zilizoundwa na rais wametuambia kuwa mchanga huu wa makinikia una asilimia 5 ya madini na hizi asilimia 5% za madini tumepoteza trion 108 kwa miaka 18.

Kwamba migodi mingine kama ya Geita na maeneo mengine hayajabuguziwa kwa sababu dhahabu inasafishiwa mgodini hapahapa nchini na haidaiwi.

Kwa tafsiri ya haraka ni kwamba hii asilimia 95% ya dhahabu inayosafishiwa mgodini ACACIA hapahapa nchini haidaiwi na serikali,Yani imelipa kodi ndio maana haipigiwi kelele ...Sasa tupige hesabu hii asilimia 95% inayosafishiwa nchini hapahapa serikali inaiingiza shilingi ngapi kupitia dhahabu hii?

Kama mchanga wa makinikia unaosafilishwa nje ya nchi una asilimia 5% ya madini tu lakini tumepoteza trion 108 kwa miaka 18,Je hiyo aslimia 95% iliyosafishiwa hapahapa nchini serikali imeingiza shilingi ngapi kwa miaka 18?

Asilimi 5% kwa miaka 18 = trion 108
Asilimia 95% kwa miaka 18 = trion 2052 Yani serikali kwa miaka 18 imeingiza trion elfu mbili na hamsini na mbili kwa madini yanayosafishiwa mgodini kwa mgodi mmoja wa ACACIA.Pesa hizi anazo MUNGU tu hata marekani na utajiri mkubwa walionao hawajawahi kumiliki pesa hii .Swali la kujiuliza kama mlikuwa mnaingiza pesa zote hizo hili deni la taifa lilikuwa linaongezekaje?Kwa nini miradi ilikwama kwa kukosa fedha wakati mnaingiza fedha zote hizi?okay sio kesi hebu katika hizo trion 2052 lipeni deni la taifa trion 50 basi.

Trion 2052 ni sawa na bajeti ya tanzania miaka 51 kama bajeti itatengwa trion 40 kila mwaka.Yani miaka 51 tunatumia pesa za madini tu bila kulipa kodi za majengo,magari,maduka na kila kitu na maendeleo yanasonga.
Tanzania ni kati ya nchi zinazotia aibu duniani .
 
Back
Top Bottom