5 bora ya Rasilimali zinazoongoza kwa kukusanya mapato Tanzania

lake Ngonsi

Member
Dec 18, 2022
13
41
Tuna rasilimali nyingi sana Tanzania,

Naomba kufahamishwa hata kama ni Kwa miaka mitano mitano top five ya sekta zilizoonogoza kwenye makusanyo mengi ya mapato (Kwa tshs),

Mfano wa sekta mojawapo ni kama.
1. Mbuga za wanyama Kwa ujumla
2. Bandari Kwa ujumla
3. Mifugo Kwa ujumla
4. Madini Kwa ujumla
5. Kilimo Kwa ujumla
6. Gesi
7. Mafuta

Data zinaweza kuwekwa Kwa mfano wowote kama mfano huu chini ...
1. Wanyama poli mwaka 2018 ni Trion 7, 2019-trion 9, 2020- Trion 11, 2021- Trion 9.5 na 2022 -trion 10.2
2. Bandari
3. n.k

Pia nitaomba na reference ikibidi.

Asanteni sana wanazuoni wenye nguvu, upendo, akili na umoja.
 
Back
Top Bottom