Nafikiri kuna umbeya mwingiKwa hiyo Dr Mpango na nduguye Kichere wa TRA ni maboya tu?
Sioni sababu za mtu tena msomi kupinga matokeo ya maabara zetu za TBS na TFDA.
Nafikiri kuna umbeya mwingiKwa hiyo Dr Mpango na nduguye Kichere wa TRA ni maboya tu?
Sioni sababu za mtu tena msomi kupinga matokeo ya maabara zetu za TBS na TFDA.
Tusiishie kuangalia au kusikiliza tu mkuu, yanatuhusu kwasababu yanaathiri maisha yetu ya kila siku, tupaze sauti kutaka penye kasoro parekebishweDah yetu macho
Hili bifu linashangaza.
Lakini inaelekea kiini ni pale Waziri wa Viwanda na Biashara kulalamika hivi karibuni kuwa Utendaji wa TRA unaathiri ukuaji wa maendeleo ya viwanda na Biashara.
Hata Rais Magufuli yuko on record kule Dodoma akionyesha kutoridhishwa na utendaji wa TRA na unavyoathiri viwanda na biashara.
Jana, Mh. Spika Ndugai ameonyesha kukerwa kwake na hili bifu kati ta TRA(Mango) ma viwanda vya mafuta(Mwijage) na jinsi mwananchi wa kawaida atakavyoumia.
Mtu wa kawaida anajiuliza, hivi Serikali inaanza kumeguka vipande vipande? Kila waziri aking'ang'ania sekta yake?
Mkuu hata Waziri Mkuu hakwepi lawama hapa.That is why I say it is an issue above the Ministers. Hawana nguvu hizo kufikisha jambo hili hapo lilipofikia. Jana kama nilimsikia vyema Mh Waziri wa viwanda katika tamko la Serikali alisema meli zimeanza kushusha mafuta na kisha Waziri Mkuu akaja na hilo tamko kali. Hapa unaweza elewa kuwa TRA hawakuwa na issue kwa sababu wao wanategemea technical input kutoka kwenye Taasisi tajwa.
Great, sioni hata ya hawa wawili kuwa different entity. Kazi zao ni zile zile. Basi tu kuongeza mlolongoWhy serikali inakuwa na TBS & TFDA? Hizi zingekuwa taasisi moja tu.. Hapa serikali inapoteza fedha nyingi kwa kuwa na taasisi mbili zinazofanya kazi ile ile.. Fumua hizi taasisi unda moja tu..ASAP
Nakubali TRA, TBS & TFDA ni taasisi ambazo ni kikwazo sana ktk ukuaji wa viwanda, hasa TRA & TFDA, viwanda hawiwezi kujengwa au kukua vilivyopo kwa vikwazo vya hizi taasisi.. Mh. Rais wetu do something ASAP, wakuu wa hizo taasisi hawajui kabisa ww unataka Tanzania ya aina gani... Fukuza hao haraka sana
Huyu jamaa nasikia u Tanzania wake imekaa kushoto ingawa ana vinasaba kidgo na JIWE lakini ngoja tuone kitakachotokea mbele ya safariDr Mpango anaandaliwa taratiiibu MLANGO WA KUTOKEA,mkumbuke pia yeye (Mpango) siyo wakwetu.
Ukitaja Makinikia unamuudhi JIWE na si ajabu ukatafutwa kwa kutoa Lugha ya maudhi kwa Mtukufu Malaika Mkuu maana hata yule mwakilishi wa Acacia hakumuelewa alichozungumzaBidhaa muhimu za Jamii..Sukari, mafuta ya kula, gesi ya kupikia na mafuta taa
Serikali inaona ndio njia nafuu ya kukusanya kodi nyingi na kusahau madini na gesi
hii nchi haina rasili mali za kusaidia watanzania? gesi, madini
Makinikia ikala kifo cha mende
10% mikataba CCM wakala cha juu na kuuza nchi, sasa hivi CCM inakamua wananchi kupitia bidhaa muhimu
Hii kodi kwenye sukari ni zaidi ya ufisadi ugaidi na upumbavu
Kasababisha nini kiadimike?Vipi kuhusu huyo Ngiri Mlafi wa CDM!
RuzukuKasababisha nini kiadimike?
Wana majukumu tofauti, na kila mmoja alianzishwa kwa sheria tafauti. Ukiwa nje unaweza dhani wanafanya kazi moja. Hata ukienda nchi nyingine za EAC kuna taasisi zao zinazofanana na TFDA mfano, DPML Burundi, NDA Uganda, PPB Kenya n.k . Lakini pia wana taasisi tofauti zinazofanan na TBS kama UBS kwa uganda na KEBS kwa Kenya.Why serikali inakuwa na TBS & TFDA? Hizi zingekuwa taasisi moja tu.. Hapa serikali inapoteza fedha nyingi kwa kuwa na taasisi mbili zinazofanya kazi ile ile.. Fumua hizi taasisi unda moja tu..ASAP
Nakubali TRA, TBS & TFDA ni taasisi ambazo ni kikwazo sana ktk ukuaji wa viwanda, hasa TRA & TFDA, viwanda hawiwezi kujengwa au kukua vilivyopo kwa vikwazo vya hizi taasisi.. Mh. Rais wetu do something ASAP, wakuu wa hizo taasisi hawajui kabisa ww unataka Tanzania ya aina gani... Fukuza hao haraka sana
Mwananchi anaathirika vipi? Next time tulisoma CCM ni Chama cha Mazuzu usibishe, mfano dhahiri ni weweRuzuku
Achaneni na watu hao. Kwa viwango vya uaminifu, namkubali Mpango kuliko hao wengine wote!Hili bifu linashangaza.
Lakini inaelekea kiini ni pale Waziri wa Viwanda na Biashara kulalamika hivi karibuni kuwa Utendaji wa TRA unaathiri ukuaji wa maendeleo ya viwanda na Biashara.
Hata Rais Magufuli yuko on record kule Dodoma akionyesha kutoridhishwa na utendaji wa TRA na unavyoathiri viwanda na biashara.
Jana, Mh. Spika Ndugai ameonyesha kukerwa kwake na hili bifu kati ta TRA(Mango) ma viwanda vya mafuta(Mwijage) na jinsi mwananchi wa kawaida atakavyoumia.
Mtu wa kawaida anajiuliza, hivi Serikali inaanza kumeguka vipande vipande? Kila waziri aking'ang'ania sekta yake?
Sure; but tactical!Mkuu hata Waziri Mkuu hakwepi lawama hapa.
Anakuja juu wakati mambo tayari yanaenda mrama.
Tukumbuke Waziri Mkuu ndio kiranja wa mawaziri wote.
Ruzuku ya mwanasiasa kamwe haiyagusi maisha yangu.Ruzuku inagusa wananchi sema tu upeo wako ni mdogo!
Nikufail tu kwa serikali ya CCM.Hili bifu linashangaza.
Lakini inaelekea kiini ni pale Waziri wa Viwanda na Biashara kulalamika hivi karibuni kuwa Utendaji wa TRA unaathiri ukuaji wa maendeleo ya viwanda na Biashara.
Hata Rais Magufuli yuko on record kule Dodoma akionyesha kutoridhishwa na utendaji wa TRA na unavyoathiri viwanda na biashara.
Jana, Mh. Spika Ndugai ameonyesha kukerwa kwake na hili bifu kati ta TRA(Mango) ma viwanda vya mafuta(Mwijage) na jinsi mwananchi wa kawaida atakavyoumia.
Mtu wa kawaida anajiuliza, hivi Serikali inaanza kumeguka vipande vipande? Kila waziri aking'ang'ania sekta yake?
TRA amepagawa kwasababu amewekewa target kubwa ya makusanyo.TRA imeota mapembe. Very soon watafungua maabara yao nao waanze kwenda sambamba na Mkemia Mkuu wa Serikali. Nasikia siku hizi wana "police department" yao na wanaarrest kama kawaida mkizinguana kwenye masuala ya kodi😀