Kwamba hujui Majukumu ya kila Taasisi Kati ya TBS na TFDA? Dah! Kaazi kweli kweli! TFDA wanakagua vyakula na Dawa, hususani suala Zima la USALAMA wa vyakula na MADAWA! TBS wanaangalia viwango/Ubora, kwamba hiki Ni quality ya grade A,B, au C! TBS wanakagua Hadi magari,Ni kutokana na umuhimu uliopo katika vyakula na MADAWA kwa Binadamu, hatuwezi tukaweka suala Nyeti Kama hili kwenye fungu la jumla la ukaguzi wake! Kikubwa ni wao kufanya kazi kwa kushirikiana. TFDA anasema Mafuta yanafaa kwa matumizi ya Binadamu, TBS anasema haya Ni Mafuta ghafi au Refined oil, na TRA nae akate Kodi Yake!