masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,171
Hili bifu linashangaza.
Lakini inaelekea kiini ni pale Waziri wa Viwanda na Biashara kulalamika hivi karibuni kuwa Utendaji wa TRA unaathiri ukuaji wa maendeleo ya viwanda na Biashara.
Hata Rais Magufuli yuko on record kule Dodoma akionyesha kutoridhishwa na utendaji wa TRA na unavyoathiri viwanda na biashara.
Jana, Mh. Spika Ndugai ameonyesha kukerwa kwake na hili bifu kati ta TRA(Mango) ma viwanda vya mafuta(Mwijage) na jinsi mwananchi wa kawaida atakavyoumia.
Mtu wa kawaida anajiuliza, hivi Serikali inaanza kumeguka vipande vipande? Kila waziri aking'ang'ania sekta yake?