Sijui watu tunajifunza nini kama utendaji wa Serikali umefikia hapa! Hii ni hatari.Kwa hiyo Dr Mpango na nduguye Kichere wa TRA ni maboya tu?
Sioni sababu za mtu tena msomi kupinga matokeo ya maabara zetu za TBS na TFDA.
Ingekuwa busara TRA wangepokea matokea yalivyo na kama kuna mashaka uchunguzi wa kawaida ungefanyika