Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,138
pitia thread kibao za the so called makamanda uone nyingi zilivyojaa uhalo na masifa yasio na mashiko kwa baadhi viongozi wa cdm.
That is your personal assingment to exprole fake kamanda's in this jf.
pitia thread kibao za the so called makamanda uone nyingi zilivyojaa uhalo na masifa yasio na mashiko kwa baadhi viongozi wa cdm.
That is your personal assingment to exprole fake kamanda's in this jf.
Inategemea definition na interpretation ya ugaidi kisheria na si mkanda wa videoMbona wanasheria hawasemi ile video ni fake?
Kama ule mkanda nk genuine basi huo ni ugaidi.
Tundu Lissu amefanya Press muda mfupi uliopita. Anasema
1. Anafungua kesi Mahakama kuu kuiomba iiamuru Mahakama ya Kisutu kuendelea kusikiliza kesi ya awali iliyofutwa na DPP katika kesi inayomhusu Lwakatare kwani DPP amevuka mipaka yake inayomruhusu kufuta kesi na isitoshe kesi aliyofungua ni ile ile hivyo Mahakama iamuru shauri la awali liendelee.
2. Kuhusu video iliyoonyeshwa kwenye mitandao Lissu anasema kuna mashaka makubwa sana kuhusiana na video ile na kisheria kesi hiyo ikifika mahakamani haitachukua hata nusu saa ataibuka mshindi.
Lissu anasema
- Hakuna mtu anayepanga mauaji katika hadhara mahali ambapo watu wanapitapita kama inavyoonekana kwenye video ile.
-Lwakatare kama alirekodiwa basi lazima ielezwe je ilikuwa ni kwa hiari yake kama si hivyo ni makosa
-Issa Michuzi Mpiga picha wa Rais alikuwa akipongezana na watu wa Ikulu wenzake kuwa TISS (Usalama wa Taifa) wamefanya kazi nzuri kwa kurekodi ile video. Kisheria usalama wa taifa hawatakiwi wala hawaruhusiwi kurekodi au kuvifanyia ushushu vyama vya siasa kwa maslahi ya Chama tawala.
-Ludovick baada ya kukutana na Rwakatale tarehe 28Dec saa 5 muda mfupi baadae yaani saa 5:59 alimpigia simu Mwigulu Nchemba kwa kutumia namba ya simu ya Mwigulu ambayo ameiandikisha kwenye kumbukumbu na vitabu vya Bunge Lissu anadai wana rekodi ya mazungumzo yao.
-Siku iliyofuata tarehe 29Dec akiwa kwenye kipindi cha Tuongee asubuhi cha Star TV alidai ana mkanda wa video unaowaonyesha CHADEMA wakipanga mauaji.
-Pia amedai itabidi waambiwe video hiyo imerekodiwa studio gani, maneno gani yameondolewa na yapi yameongezwa.
Anamalizia kwa kusema walianza kwa kusema CHADEMA ni chama cha familia wakashindwa, wakasema ni chama cha wachaga wakashindwa, wakesema ni chama cha wakatoliki wakashindwa, wakasema ni chama cha wakristo wakashindwa, wakasema ni chama cha ukanda wakashindwa leo wanasema ni chama cha kigaidi WATASHINDWA. Press nzima itakuwa www.chadema.tv muda mfupi ujao
Kumbe investigative journalism Tanzania kwa kutumia video ni makosa ambayo unashitakiwa mahakamani. DUh, Kwangu hii ni MPYA.Lwakatare kama alirekodiwa basi lazima ielezwe je ilikuwa ni kwa hiari yake kama si hivyo ni makosa
Kwa faida yetu tusiyojua maana ya ugaidi, ebu tueleze nini maana ya ugaidi.
Kwa wale waliokuwa wanasema hiyo video siyo ya Lwakatare nafikiri jibu limepatikana vizuri ila point wanayoshikilia wanasheria ni kuhusu sound editing kama wanavyosema hapa chini.
kama kuna kosa kubwa maccm walibugi ni kuwapa uongozi wa chama watu kama kikwete,mwigulu,wasira na nape! hii movie ya kijinga lazima imewashirikisha wote hawa wanne na waganga njaa wengine! sidhani kama kinana, mangula, salim,tibaijuka wanaweza shiriki ktk vikao vya kupanga upumbavu kama huu!Na kibaya zaidi wanataka L abakie police kwa upelelezi zaidi ili badae wamchomoe kiaina,bora hakimu kawachomolea kwani angeaibisha Taaluma yake!
Mungu stil yupo upande wa CDM
mbona unongea vitu vya ajabu inamaana wewe unashabikia ugaidi,je unajua vizuri madhala ya ugaid
Issa Michuzi Mpiga picha wa Rais alikuwa akipongezana na watu wa Ikulu wenzake kuwa TISS (Usalama wa Taifa) wamefanya kazi nzuri kwa kurekodi ile video. Kisheria usalama wa taifa hawatakiwi wala hawaruhusiwi kurekodi au kuvifanyia ushushu vyama vya siasa kwa maslahi ya Chama tawala.
Nilijua tangu awali, kwamba kama mpango huu haukupangwa na Lwakatare na Ludovick kwapamoja, basi lazima mmoja wapo alishiriki.... Mwisho wa siku tutaujua tu ukweli. Na kwa hatua hii hawawezi kumkana Ludovick tena, kama kweli wangekuwa hawajuani, angemruhusu vipi kwenda nyumbani kwake na kuzungumza waliyozungumza?Nyongeza: kuhusu video amesema tayari kuna ushahidi wa kimawasiliano baina ya Mwigulu Nchemba ya tarehe 28.12.2012 wakiwasiliana na Ludovick saa 5:55 asubuhi , na Lwakatare amesema kuwa yeye alikutana na Ludovick kuanzia saa tano asubuhi tarehe 28.
Utam kolea... wameanza kukubali wenyewe kwamba mkanda ule una ukweli ndani yake ee? haya na tuwe wapole tusubiri majibu ya polisi. Ha ha ahaaaaMaelezo aliyotoa Lwakatare polisi kuhusu maneno yaliyoko kwenye video alisema kuwa yeye anakumbuka siku ya tarehe 28, alikuwa nyumbani kwake na Ludovick ndio alienda kwake , ila picha ya video ni ya kwake , sura ni ya kwake ila baadhi ya maneno yaliyoko sio ya kwake na ameandika hivyo , kwa hiyo kuhusu ukweli wa mkanda majibu ya kina yanatakiwa kutoka polisi
Tatizo unaongea hata hujui unachoongea ni nini?. Ufanyishe kazi ubongo wako kujua angalau nini na kwa style ipi unaandika hata kabla ya kuelewa kile nilichokiandika. You're just all over the place.Naona ufahamu umeanza kuwarudia taratibu. Mwisho wa ubaya ni aibu na dawa ya NJAA ni kufanya kazi kwa bidii na sio kujikomba kwa akina Mwigulu na Nape
I am telling u mtu aliyepata F ya Maths kama Nape hana akili ya kupanga mchezo mchafu ambao uta prevail mbele ya haki
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!
wewe hata kiswahili huelewi? Lwakatare amesema kuwa kwenye ile video, picha ni ya kwake, halafu hiyo siku yeye hakuwepo huko eneo inakoonekana ilichukuliwa lakini Ludovick alifika nyumbani kwake siku hiyo video ilipochukuliwa. Baadhi ya maneno ni yake lakini mengine siyo yake.
Kwa haraka, hii ina maana gani? Ludovick ndiye aliyemrekodi Lwakatare alipoenda nyumbani kwake. Baada ya kurekodi, nahisi kwa kutumia simu, alikwenda ku-edit video hiyo ili ionekana kama inavyoonekana. Lakini kuna uwezekano mkubwa kuwa video hiyo imekuwa edited zaidi ya mara moja, ndiyo maana ile iliyopo kwenye Youtube inatofautiana na ile waliyo nayo polisi.
Wewe ni muumini wa gazeti la
uhuru manake ndio gazeti pekee lililoandika hayo ingekuwa kweli TBC!
siwangeonyesha kila baada ya saa