Mwanawangurumo
Senior Member
- Nov 19, 2012
- 105
- 15
Ukweli hata uuchanganye vipi na uongo utabaki kuwa ukweli, kwahiyo umeuona uhalisia kwenye hiyo clip siyo? subiri kidogo uhalisia utaujuatunachoangalia hapa ni uhalicia wa lwakatare kutengeza hiyo njama je ni kweli ukiangalia clip inaonesha kweli na hakuna ulazima wa kumtetea muovu regadles kuna mazur amefanya wote tunapenda mapinduz ila kwenye uovu hatukubali na wa binafsi ni kinukuu uzi hapo wanakili live so nan mchaw? Hakuna haja ya kutafuta hata kama tunawapenda ndo walinusuru taifa anapofanya crimina lazma ashughulikiwe kama wengne
Tundu Lissu ni special case jamani wenye wivu wapande miti wajinyoge. Sina hofu kabisa na ninajua chadema walivyo smart kwenye mambo yao hii ngoma ya watoto lazima ikifika jioni wote warudi majumbani mwao wakalale tubakie wakubwa mitaani
Kwani tunalaumu chama au individual people?Vision yao inaishia pua zao zinapoishia, kilichopo beyond pua zao hawakioni, hiyo ndo bahati mbaya waliyo nayo ccm na policcm wao. Wanasheria wao nafikiri wengi wao ni wale waliopata degree zao kwa kutumia ile kauli ya mkuu wa wilaya ya korogwe. Mfano mzuri ni yule aliyetuhumiwa na mkuu huyo wa wilaya. Sasa minyuso yao imekakamaa kwa aibu inayokaribia kuwapata. Mimacho imewatoka, kwa kesi hii tu watu wengi sana watajificha wasionekane mbele ya jamii (mf. mwigulu, nape, stella mwampamba, shonza, pasco, ritz, zemarcopolo, .... orodha ni ndefu sana ya watakaoaibika na kesi hii). Kaburi la ccm lipo wazi, kinachosubiriwa ni mzoga wa kutiwa humo.
Mods unganisha na ile ingine kule
Kwani tunalaumu chama au individual people?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mods unganisha na ile ingine kule
Tundu Lissu ni
special case jamani wenye wivu wapande miti wajinyoge. Sina hofu kabisa
na ninajua chadema walivyo smart kwenye mambo yao hii ngoma ya watoto
lazima ikifika jioni wote warudi majumbani mwao wakalale tubakie wakubwa
mitaani
Wewe ni great thinker!
Devis Msaki+ Mwigulu+MASALIA= - --- -- --- -
mgonjwa wa dr kigwangalla